Kwa yalionipata nimekoma kufanya mapenzi gizani

Yaonyesha weye ni mgeni wa mambo mengi ya dunia hii. Unatafunwa ukiwa hai wala husikii na ukisikia wadhani ndo majambos. Unashida kweli. Siku nyingine kitu hukijui, usikubali kujaribu gizani. Vitu hivyo huwa tunaruhusu kwa uliyekwisha mzoea
 
We nawe mara umekutana na mwenye meno yaliyo katika katika mara mwenye kichaka, khaaa [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Kuna kaka alinihadithia story tofauti kidogo na ya kwako, mdada very decent mtoto wa gate, alimaliza form six lakini matokeo hayakuwa mazuri sana, alipata direct employment kwenye ofisi yao (kwa kujuana). Kaka hangaika karibu miezi mitatu kufuzia mtoto, amweleze nini, mtoto asubuhi anashushwa na 4x4 yenye kiyoyozi na jioni anakuja kuchukuliwa.

Kwa shida sana mkaka alimtoa lunch, baada ya hapo ni kama alifungua njia, mpaka siku mdada ameaga kwao anakwenda kwenye sherehe kwa rafiki yake. Mkaka kuchukua chumba hotelini, wamelala ananiambia imefika saa sita usiku kumbe dada kikojozi, godoro limelowa kabisa. Makaka amelowa mikojo. Khe, imefika J3 mkaka amebadilika hamtaki tena yule dada.
 
Nimebaki kucheka tu ....yaani kweli kende zimebugiwa zinakwaruzwa hata husikii!
 
Kuwa makini kwa mwendo wako huo siku utakuja kubeba mpaka jini aise na atatafuna kende zako zote!!!!
 
We nawe mara umekutana na mwenye meno yaliyo katika katika mara mwenye kichaka, khaaa [emoji13][emoji13][emoji13]
Hivyo ni vichache vingi sijavitoa tunavumilia mengi unaweza kuwaogopa kina dada
 
jamii forum ni kiboko![emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji93] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hata ingekuwa kwenye mwanga usingejua,kama tu ulishindwa kujua kama meno yake yamekatika wakati unamtongoza
 
Kuwa makini kwa mwendo wako huo siku utakuja kubeba mpaka jini aise na atatafuna kende zako zote!!!!
Dah hivi sasa mkuu nikiona mtu anakimbilia eneo hilo na mapenzi yamekwisha
 
Mimi naogopa kuimbiwa! ke hawaaminiki mzuka ukipanda! anaweza akakukata kama umepitiwa na mashine ya randa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…