MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Mitano na kumi inakua kumi na tanoMitano au kumi
CCM wamepiga hesabu za kiutu- uzima, hakuna tena migogoro, wenye uchungu wakazaeChadema bila kupewa Lissu hali itakuwa mbaya
Wamevunja katiba ya CCM.Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
SIasa, ni mchezo kama draft, CCM ikisha fanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasukko huo ungekua na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Mkuu zoezi la uchaguzi halijaanza, ila amefanikiwa kuwa na AZIMIO la mkutano mkuu, akili kubwa sana hiyoWamevunja katiba ya CCM.
Kikwete akifa kile chama watagawana mbaoCCM wamepiga hesabu za kiutu- uzima, hakuna tena migogoro, wenye uchungu wakazae
Lilipigwa Goma la CCM INA WENYEWE Nikasema KwishneiNilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
SIasa, ni mchezo kama draft, CCM ikisha fanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasukko huo ungekua na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Ile ya kumalizia kiporo Cha JPM haikua ya mama Kwa iyo ndo tunaanza fresh,kumi tenaMitano na kumi inakua kumi na tano
Kamaliza heka heka ndani ya chamaHapana aisee, naona kabisa mzee alipigwa!
Tunafahamu fika mzee ni mtoto wa mjini , ile kauli yake ya mambo ya haribike sana kati ya sasa na 2025 bado tunaingalia kwa jicho pevu ikizingatiwa 2025 bado ni changa sana kwa sasa.
HakikaSasa hivi ndiye anayetawala nchi from behind.
Wanachama wa CCM ni wanafki kwa kiwango cha SGRL
Lilipigwa Goma la CCM INA WENYEWE Nikasema Kwishnei
Muswada wote wa Ile komedi uliandikwa, kuhaririwa na kuongozwa na Kikwete full stop.Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari
Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni
SIasa, ni mchezo kama draft, CCM ikisha fanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa
Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasukko huo ungekua na madhara gani hasi au chanya
Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Mzee ni akili kubwaKikubwa waliokua wanataka kuleta fujo ni wakina Mwezi wa kwanza na nepi na wote kichaka kimechomwa
Kikwete ni akili kubwaMuswada wote wa Ile komedi uliandikwa, kuhaririwa na kuongozwa na Kikwete full stop.
Kizimkazi hana ujasiri huo.
Bimkubwa anacheza karata zake na wote..........lazima abalance ...,ndo maana kule Arusha kuna yule mtu, wale na wao wana target zao........kuletwa Wasira nako ni katika harakati za kubalance.........ule ukanda kuuchinja ni ngumu.......hawana ma godfather ila wanategemea zaidi idadi yaoMzee ni akili kubwa