Pre GE2025 Kwa yaliyojitokeza Mkutano Mkuu wa CCM, Hakika Kikwete ni mtoto wa mjini na ni jabali la siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari

Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni

Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.

Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya

Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
kikwete amewakeketa!!
 
Wabongo bana, mtu akivunja katiba "jabali" akifuata pia "jabali" akiongea upupu "jabali" akichekesha jabali pia, kazi yetu ni kusifia tu kila kitu sijui rangi yetu ni gani?? Twafuata mkumbo tu na upepo, vichwa vyetu ni kama maboksi matupu, ubongo ulishatolewa
 
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari

Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni

Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.

Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya

Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Nakuona cha mtoto katika siasa za CCM tena mtoto kikojozi kabisa .CCM ni taasisi inajua kucheza games uliwahi kumsikia marehemu Makufuli alikuwa akiwaambia kuna baadhi ya watu wanawashwa wanajiteka wenyewe wakicheka wenyewe hiyo ndio CCM .By the way Kikwete alikuwa ktk G55 kama hujui uliza ni nani hao so wacha wale raha zao .CCM haitoki madarakani hata kama kutakuwa na mpasuko vipi zile ni propaganda tu hao wanaojidai kuchukua fomu ni usaniiii tu .
 
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari

Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni

Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.

Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya

Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Uhuni uliopangwa mapema
 
Hakuna CCM inaweza kupasuka,Rais wa nchi ya Tanzania ana mamlaka makubwa sana.
Na isitoshe hakuna mwanasiasa kwa sasa maarufu mwenye uwezo wa kuyumbisha chama.
 
Naitafuta hiyo katiba nione ni ibara gani iliyokataza mkutano mkuu kuweka AZIMIO
Huyo mama mwenyewe kachimba mkwara wenzake kupita majimboni, lakini wanafiki kusema yeye mgombea hakupinga anachekelea tu! Angekua bold kusema pia ni mapema sana kuleta hiyo hoja na wala azimio lisingewekwa
 
Kuwa mtoto wa mujini kunalisaidiaje Taifa? Tunaweza kuhisi tunaelekea wapi?

Hakuna kitu kibaya kama kuifanganya nafsi. Waswahili wanasema mficha marathon, kifo kitamuumbua.

Tunaenda wapi kama Taifa na tuna hakika tutaendelea kuwa salama?
 
Subiri uone picha sasa!

Kazi ndio imeanza rasmi!
Si unaona kitengo kimehakikisha Lisu anakua mwenyekiti!!?

Sasa ni rasmi Agenda ya katiba mpya ni rasmi na hiyo agenda ndio aliopewa mama aisimamie na wale wenye dola wanaojiita the state!Sasa kama ccm haitoenda chimwaga kwa mara nyingine it means watakua wamekubali kuachia nchi why!!?

"Mwanamke mzanzibari anaeuza Mali za tanganyika watanganyika watabaki na nini!!?

Hicho ndio kibwagizo cha kampeni!!na huo mdomo wa lisu plus taarifa nyeti za mikataba ya dp world na mengineo bhas ni rasmi hakuna wa kujibu hoja za lisu!!
 
Back
Top Bottom