Pre GE2025 Kwa yaliyojitokeza Mkutano Mkuu wa CCM, Hakika Kikwete ni mtoto wa mjini na ni jabali la siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Wewe unadhani Nchimbi alikuwa timu Edo kutoka Moyoni? Mambo mengine mazito wewe kuelewa.
Wengi Huwa wanajua nchimbi ni team lowasa kumbe team kitengo wa ku neutralize effect ya mpasuko kipindi kile!!

Nchimbi ni kete ile!na ilitakiwa ikae pale badala ya Mpango basi tu mama akaiona akahepa mtego!

Ngoja nione!
 
Kabisa Mkuu. Watu haelewi hayo, wamekaa na ushabiki
 
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari

Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni

Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.

Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya

Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Sio Ishu ya Ujanja. Ukiwa AGE GO kwenye maisha lazima ujifunze kukubali wakati wako umeisha na uwe tayari kukubali changes . Pia lazima utambue kuwa watu si wajinga ….. Kikwete bado anaamini ataendesha CCM kama alivyoendesha Nyerere….anapingana na wakati na alichofanya jana ni Uhaini and he is forcing people to accept his wishes then unajiaminisha wewe ni SMART …. Haipo hivyo!

Samia alipaswa kushindanishwa kwa sababu alikuwa amemshikia JPM na wakati wa JPM ndio unaisha now . So katiba yao inataka atafutwe mGombea…. Kama Samia amefany vema , why aogope kuingia kwenye mchakato?

JK ajue vijana wameshamuweka kwenye angle…… wakati wake umeisha but still ana dictate terms over youth generation…….kwa hakika amefeli
 
Kwahiyo na wewe unaamini jk anataka samiah awe Raise wa 2025-2030!!?

Ukiona CCM wanafanya vituko kama vile ujue wanamuingiza mtu kingi!!

Wamefanya kile anachotaka kusikia ili wafanye yao!
 
Angalia Katiba ya CCM toleo la 2022 , ibara ya 100 (5) (c).

Kwahiyo na wewe unaamini jk anataka samiah awe Raise wa 2025-2030!!?

Ukiona CCM wanafanya vituko kama vile ujue wanamuingiza mtu kingi!!

Wamefanya kile anachotaka kusikia ili wafanye yao!
Mkuu ule wa jana ni MSUMARI. Ukisikia tuweke RASMI iyo imeenda, na mama nae akasema kamat ikafanye hiyo kazi
 
Kizazi alichokiandaa Nyerere, amebaki jk tu
Alisha mkataa kuwa si kizazi chake, kipindi kile JK na Lowasa walipokodisha ndege kutoka Dar to Dodoma walipokuwa kwenye harakati za kugombea Urais. Aliwauliza pesa zote hizi mnazo tumia kwenye zoezi zima mmezitoa wapi?
 
Haha wanaficha aibu,,,,hao kete zao ilikua ni wale vijana wa wazuri hawafi ila kwa sasa lazima warukeruke waonyeshe pia na wao wamo........sahivi wanajipa moyo maana wameona kuna mwana mtandao mwenzao wa enzi hizo, ila wanasahau wao wenyewe walishaanza kucheza rafu na watu wanakumbuka kwahio watalipiza tu
Hawa ni wabishi kama timu moja ya mpira pale Kariakoo,"Haiishi mpaka iishe".
 
Kwahiyo na wewe unaamini jk anataka samiah awe Raise wa 2025-2030!!?

Ukiona CCM wanafanya vituko kama vile ujue wanamuingiza mtu kingi!!

Wamefanya kile anachotaka kusikia ili wafanye yao!
Unanikumbusha ile ya kuomba msamaha kwa kupiga magoti baada ya udukuzi. Ama kweli Si-hasa=Si kweli🤣🤣🤣🤣
 
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari

Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni

Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.

Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya

Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Samia mitano tena
 
Back
Top Bottom