Pre GE2025 Kwa yaliyojitokeza Mkutano Mkuu wa CCM, Hakika Kikwete ni mtoto wa mjini na ni jabali la siasa

Pre GE2025 Kwa yaliyojitokeza Mkutano Mkuu wa CCM, Hakika Kikwete ni mtoto wa mjini na ni jabali la siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katiba ya CCM imekataza Azimio kama hilo kwenye zoezi la kutafuta mgombea wa urais.

Wamelazimisha tu kwa sababu hatuna utamaduni wa kuheshimu katiba.
Shamba la bwana heri, mbuzi wa bwana heri na nyasi za bwana heri
 
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari

Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni

Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.

Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya

Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
Jana mwamba kapigwa kanzu na kaipokea Kwa shida
 
Mama hajaingizwa mkenge ila anajua namna ya kucheza nao.....watu walikua wanacheki upepo tu,,,,,kumbukeni kuna ile nafasi ya katelephone bado.........kwenye ubunge ndo zinakuja sarakasi za kutosha
Binaadamu wakati tunapanga na Mungu nae anapanga pia!!
 
Shamba la bwana heri, mbuzi wa bwana heri na nyasi za bwana heri
Hata hapo katika shamba hilo, ukisema majani ni ya bluu wakati ni ya kijani itabidi tuseme huu ni uongo.

For logical consistency, if for nothing else.
 
Hawezi kujua kuliko system iliyomweka na kama system imekubaliana na hicho kituko ni dhahiri inajua pa kuchomokea!!

System imara haiwezi kubali mgombea ajulikane miezi kumi kabla ya uchaguzi itakua system yaenye matobo tobo Tena na makam ajulikane mapema hivyo huoni unasababisha tension isiyo na maana!!?

Naamini Maandishi ya TumainiEl na Tumia akili!
Bongo amna system bali kuna kikundi chenye access tu
 
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari

Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni

Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.

Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya

Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine
KAMA ZILE NI SIASA,BASI AMANI ISINGEKUWEPO.
 
Kwani kwa sasa kuna timu 1 tu? Watu wanapiga honi hapo kwa katelephone......Nchimbi hata mambo yakitick nafasi ya umakamu haina nguvu kubwa kama hapo kwa waziri mkuu, kwahio hadi hapo jamaa ameshatulizwa kwenye nafasi ambayo haina makeke mengi,,kwahio hata wale watakao amua kua upande wake ni kwamba wanajua mapema kabisa mwisho wa siku jamaa ni makamu wa rais tu....nafasi ya kushika mikasi na kuzindua miradi.....ila upande ule walishaanza kupiga honi mapema kwa katelephone na wakijipanga vizuri ile nafasi wanaibeba
Nchimbi ndie utakuja kuniambia nchimbi ndio mgombea wa CCM!
 
System ilio kamilika haiwezi ruhusu nchi kuendeshwa na kikundi kihuni
Wanaruhusu madhara yaonekane kwanza kabla ya kuchukua hatua!

Wakichukua hatua kabla ya madhara kuonekana itaonekana kaonewa mtu!

Ndivyo walivyo,jamaa wanatoa maonyo kama manne au tano ndio wanaingia mzigoni!!

Marehem chuma alipigwa nyaraka za TEC ngapi!!?kabla ya yale!!?
 
Nilifuatilia mkutano mkuu wa CCM, nikaona mzee mzima analazimishia azimio, nikajua hapa tayari

Wale waliokua wanakusudia kuchukua form na kupambana na mama itabidi warudishe mikia yao tumboni

Siasa, ni mchezo kama draft, CCM ikishafanya maamuzi ya kikatili wanakuaga na wimbo wao wakusindikizia maumivu kwa wale waliojeruhiwa.

Tuendelee kumuenzi huyu Mzee Kikwete, vinginevyo CCM ingepasuka na nani ajuae mpasuko huo ungekuwa na madhara gani hasi au chanya

Twende na mama wa Kizimkazi apewe mi-5 mingine

Kwani nani kakwambia mambo yameisha jana? Anayelala usimwamshe. Kuna watu wanaendelea kupanga kila siku, akiwemo ili kupata wanayoyataka. Na wanasiasa huwa hawachoki wala kukata tamaa. It may mean jana wamepata solutions au pengine wana mengine wanayataka.
Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya Filauni. Tanzania ilipo inahitaji uongozi thabiti na watu wenye nia njema. Kucheza cheusi chekundu kuna hatari zake kubwa sana
 
Nchimbi ndie utakuja kuniambia nchimbi ndio mgombea wa CCM!
Mgombea umeshakua makamu....kazi yake kushika mkasi tu kuzindua miradi na hapo nafasi yake kwenye chama ataachia.....hapo inategemea watakao kua viongozi kwenye chama pamoja na ile nafasi aliyopo katelephone........Nchimbi kua makamu ameshapigwa pini kiutu uzima labda angekua mzenji angeenda kua rais huko
 
Back
Top Bottom