Kwa yaliyonitokea, naamini wanawake wakifikisha miaka 30 bila ndoa wanachanganyikiwa

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Mwaka 2018 nilimuelewaga binti enzi hizo yeye ana miaka 25 mimi nna miaka 30, na mda huo nlikuwa nishajipata kujenga tayari kazi nzuri nnayo na biashara zangu so kuowa haikunipa shida

Binti alikuwa ni pisi kali balaa hapa ndipo mjue wanawake wazuri kupindukia huwa hawataki ndoa ili wadange wakizeeka ndio wanaanza kulilia wnaume

Nikampeleka kwetu uchagani bwana wazee wakampokea wakampa na kanga kama zawadi ya kumpokea na kumkaribisha bomani kuwa wamemkubali kazi kwake

Ile tumemaliza tu kutambulishana kesho yake siku ya kurudi Dar akanirudishia ile kanga akasema itamletea mikosi kama nikimgeuka hataolewa tena, nikamwambia kama nikibadilika utaratibu unairudisha na maisha yanaendelea

Akaikataa akinivwagia pale niwarudishie wahusika daah alinikera vibaya sana, ikbidi ile kanga niifiche kwa aibu, tumefika airport alinikata upepo kabisa nikamwambia aondoke peke yake nikaenda kupanda kosta za usiku nikasepa maana hakukuwa na mabasi ya usiku enzi hizo

Nilipofika Dar tu nikamfungia mazima vioo hadi nikaja kupata mwanamke mwingine smart ambae nipo nae hadi leo, na tuna watoto

Hapa juzi bwana kanitafuta anasema ule ulikuwa utoto nimpe nafasi tena hata bila mahari nikajitambulishe kwao nimchukue, hapo tayari ana miaka 31 uso ushaanza kuzeeka kipindi kile alivyokuwa kigoli alileta maringo

Nikamwambia sitaki wazee mimi tayari nna kigoli changu halali na tuna watoto wawili akatafute mzee mwenzake nikawambia kabisa umri wake akatafute zee la miaka 45 ndio size yake mda wake ushaisha

Aloo aliniblock whatsap hadi leo kapotea
 
Mwaka 2018 nilimuelewaga binti enzi hizo yeye ana miaka 25 mimi nna miaka 30, na mda huo nlikuwa nishajipata kujenga tayari kazi nzuri nnayo na biashara zangu so kuowa haikunipa shida

Binti alikuwa ni pisi kali balaa hapa ndipo mjue wanawake wazuri kupindukia huwa hawataki ndoa ili wadange wakizeeka ndio wanaanza kulilia wnaume

Nikampeleka kwetu uchagani bwana wazee wakampokea wakampa na kanga kama zawadi ya kumpokea na kumkaribisha bomani kuwa wamemkubali kazi kwake

Ile tumemaliza tu kutambulishana kesho yake siku ya kurudi Dar akanirudishia ile kanga akasema itamletea mikosi kama nikimgeuka hataolewa tena, nikamwambia kama nikibadilika utaratibu unairudisha na maisha yanaendelea

Akaikataa akinivwagia pale niwarudishie wahusika daah alinikera vibaya sana, ikbidi ile kanga niifiche kwa aibu, tumefika airport alinikata upepo kabisa nikamwambia aondoke peke yake nikaenda kupanda kosta za usiku nikasepa maana hakukuwa na mabasi ya usiku enzi hizo

Nilipofika Dar tu nikamfungia mazima vioo hadi nikaja kupata mwanamke mwingine smart ambae nipo nae hadi leo, na tuna watoto

Hapa juzi bwana kanitafuta anasema ule ulikuwa utoto nimpe nafasi tena hata bila.mahari nikajitambulishe kwao nimchukue, hapo tayari ana miaka 31 uso ushaanza kuzeeka kipindi kile alivyokuwa kigoli alileta maringo

Ulitakiwa ukamle RC Nawanda kwanza
 
Nitumie namba yake mkuu,mi nina miaka 46
Aloo aliniblock whatsap hadi leo kapotea
 
point yako hasa ni ipi, najaribu kuweka mada na content naona vinakimbiana
Yeye alifika miaka 30 akitarajia kuoa mwenye miaka 25 ila ikashindikana.Na baadaye alivumilia akaoa.Anataka kujua,vipi hali hiyo kwa umri wa miaka 30 ingekua ni mwanamke halafu yamtokee kama yale angeweza kuvumilia au angeona ndiyo basi tena?
 
Back
Top Bottom