Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu.
Chaguzi zenye haki ziliisha enzi za Nyerere hadi Mkapa tu. Sioni cha kunishawishi kwenda kuboresha taarifa na kupiga kura wakati watu wanamatokeo mfukoni.
Soma Pia: Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani