una haiba ya uwanawake ukute we ni shogaUchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu.
Chaguzi zenye haki ziliisha enzi za Nyerere hadi Mkapa tu. Sioni cha kunishawishi kwenda kuboresha taarifa na kupiga kura wakati watu wanamatokeo mfukoni.
Soma Pia: Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani
Duh ,ni haki ya mtu kuchagua kupiga kura ama kutokupigauna haiba ya uwanawake ukute we ni shoga
uchaguzi wa 2015 ndo uchaguzi pekee ambao uliongeza viti vingi vya upinzania ubunge na madiwaniDuh ,ni haki ya mtu kuchagua kupiga kura ama kutokupiga
Baada ya 1965 nina shaka kubwa sana kama kumewahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki.Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu.
Chaguzi zenye haki ziliisha enzi za Nyerere hadi Mkapa tu. Sioni cha kunishawishi kwenda kuboresha taarifa na kupiga kura wakati watu wanamatokeo mfukoni.
Soma Pia: Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani
Hivi ndio kipindi cha kina Joshua nasari na kina lijualikali?π€uchaguzi wa 2015 ndo uchaguzi pekee ambao uliongeza viti vingi vya upinzania ubunge na madiwani
tatizo lenu ni moja mnahisi uchaguzi uliobora ni ule ambao utampitisha mpinzani tu, asipopita mpinzani basi haukua wa hakiBaada ya 1965 nina shaka kubwa sana kama kumewahi kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
ndio, ni chaguzi ambayo haitakaa itokee,RIP Mzee lowasaHivi ndio kipindi cha kina Joshua nasari na kina lijualikali?π€
If you isolate yourself or boycott from taking part in political administrations don't blame to be ruled by a fool later on πUchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu.
Chaguzi zenye haki ziliisha enzi za Nyerere hadi Mkapa tu. Sioni cha kunishawishi kwenda kuboresha taarifa na kupiga kura wakati watu wanamatokeo mfukoni.
Soma Pia: Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani
hapa umeufunga mjadalaIf you isolate yourself or boycott from taking part in political administrations don't blame to be ruled by a fool later on π
kaa nyumbani kwa amani angalia tv kwa makini wakitangazwa watakao kuongoza, na lazima utaongozwa tu kwa mujibu wa sheria, upende usipende,
hata hivyo,
ni muhimu zaid kumuona daktari wa masuala ya matatizo ya saikolojia bila kuchelewa kabla ya hali yako kua mbaya zaid π
Yaliyofanyika 2015 kwenye Uchaguzi Mkuu hayakufanywa na JPM !Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu.
Chaguzi zenye haki ziliisha enzi za Nyerere hadi Mkapa tu. Sioni cha kunishawishi kwenda kuboresha taarifa na kupiga kura wakati watu wanamatokeo mfukoni.
Soma Pia: Taarifa za kuwepo kwa uchakachuaji matokeo zinaweza kuwa na lengo la kuwakatisha tamaa waliopanga kupiga kura kwa upinzani
Wewe jiulize 1. kwa nini matokeo ya Urais hayahojiwi kwenye chombo chochote ikiwemo mahakama ngazi zote? 2. Kwa nini tume ya uchaguzi, ikiwemo wafanyakazi wake haishitakiwi kwa jambo lolote lile linalohusu uchaguzi? 3. Kwa nini kwenye baadhi ya vituo matokeo uchelewa kutangazwa?tatizo lenu ni moja mnahisi uchaguzi uliobora ni ule ambao utampitisha mpinzani tu, asipopita mpinzani basi haukua wa haki