Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Ila mm nmefurahi mno Ruto kushinda, nngekuwa Mkenya aisee leo lazima nngemwagilia moyo...hata mimi haya matokeo yamenishangaza.
..nilitarajia Raila angeshinda kwasababu ya kuungwa mkono na Raisi Kenyatta.
..nasubiri wachambuzi wa siasa za Kenya watueleze ni nini haswa kimepelekea matokeo haya.
..kwa upande mwingine Raila hajashindwa vibaya.