Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Ata 2016 walimdharau hivyo hivyo afu America sio Kama CCM, ukipigiwa kura nyingi na wanachama ndo unakuwa nomineeSio rahisi kama unavo fikiria republican party, hawawezi kifanya kosa la kumrudisha trump, hao wanao mtaka trump ndo wale wazungu utra-nationalists wabaguzi ila idadi yao ni ndogo hawawezi kishinda uchanguzi.
So rep watamsimamisha nani? Au unadhani 2024 ni mbali?Sio rahisi kama unavo fikiria republican party, hawawezi kifanya kosa la kumrudisha trump, hao wanao mtaka trump ndo wale wazungu utra-nationalists wabaguzi ila idadi yao ni ndogo hawawezi kishinda uchanguzi.
2016 hawakujua umbovu wake kwasasa wanamjua sanaa yule nikama kichaa hamna mspanids au Black America au latini America wakumpa kura kumbuka hao minority race wako 60% katika wapiga kura, kwahiyo ni vingumu kupitisha labda kama republican party wanajianda kupoteza uchanguzi.Ata 2016 walimdharau hivyo hivyo afu America sio Kama CCM, ukipigiwa kura nyingi na wanachama ndo unakuwa nominee
74m votes alizopata last year, so hao wamarekani 74m walimchagua na ukichaa wake2016 hawakujua umbovu wake kwasasa wanamjua sanaa yule nikama kichaa hamna mspanids au Black America au latini America wakumpa kura kumbuka hao minority race wako 60% katika wapiga kura, kwahiyo ni vingumu kupitisha labda kama republican party wanajianda kupoteza uchanguzi.
Obama 2008 65m, 2012 63m(kura zilishuka japo alishinda) Trump 2016 62m, na 2020 74m( kura zilipanda kwa 9m japo alishindwa) n.b figure Ni kwa popular vote2016 hawakujua umbovu wake kwasasa wanamjua sanaa yule nikama kichaa hamna mspanids au Black America au latini America wakumpa kura kumbuka hao minority race wako 60% katika wapiga kura, kwahiyo ni vingumu kupitisha labda kama republican party wanajianda kupoteza uchanguzi.
Hawakujua wengi hamtaki isipo kua wazungu wafahidhina ambao ni matajiri ila wachache less than 10%74m votes alizopata last year, so hao wamarekani 74m walimchagua na ukichaa wake
2016 hawakujua 2020hawakujua[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hawakujua wengi hamtaki isipo kua wazungu wafahidhina ambao ni matajiri ila wachache less than 10%
Hizo kura zisikudanganye wamarican wanatumia electoral college system, hata ukiwa na kura nyingi ila kimajombo ukishindwa huwezi kua Raisi, kumbuka Hillarry almzidi trump kura ila trump kamshinda kimajimboObama 2008 65m, 2012 63m(kura zilishuka japo alishinda) Trump 2016 62m, na 2020 74m( kura zilipanda kwa 9m japo alishindwa) n.b figure Ni kwa popular vote
Ndo maana nkakuwekea n.b Ni popular votes,my point is why Kama wamarekani wanaojua kichaa Cha Trump mwaka 2020 walimpa kura nyingi Sana kuzidi za 2016(popular vote)Hizo kura zisikudanganye wamarican wanatumia electoral college system, hata ukiwa na kura nyingi ila kimajombo ukishindwa huwezi kua Raisi, kumbuka Hillarry almzidi trump kura ila trump kamshinda kimajimbo
Kule si Tanzania, kule Primaries ndo huamuaSio rahisi kama unavo fikiria republican party, hawawezi kifanya kosa la kumrudisha trump, hao wanao mtaka trump ndo wale wazungu utra-nationalists wabaguzi ila idadi yao ni ndogo hawawezi kishinda uchanguzi.
Kilicho mfanya Trump apewe kiti ni kutokana na mpinzani wake alikuwa Mwanamke,kama mpinzani wake angekuwa Mwanaume Trump asingpata urais.Ata 2016 walimdharau hivyo hivyo afu America sio Kama CCM, ukipigiwa kura nyingi na wanachama ndo unakuwa nominee
Mawazo ya lumumba ayoKilicho mfanya Trump apewe kiti ni kutokana na mpinzani wake alikuwa Mwanamke,kama mpinzani wake angekuwa Mwanaume Trump asingpata urais.
Nyie pigeni kelele zenu zote,mimi nitakuja na Topic kuhitimisha hii mada nitakachoandika ndicho kitakachotokea MarekaniSio rahisi kama unavo fikiria republican party, hawawezi kifanya kosa la kumrudisha trump, hao wanao mtaka trump ndo wale wazungu utra-nationalists wabaguzi ila idadi yao ni ndogo hawawezi kishinda uchanguzi.
Sio rahisi kama unavo fikiria republican party, hawawezi kifanya kosa la kumrudisha trump, hao wanao mtaka trump ndo wale wazungu utra-nationalists wabaguzi ila idadi yao ni ndogo hawawezi kishinda uchanguzi.
Si mlisema Tzn pekee ndio kuna mfumuko wa bei,kwa taarifa yenu Hali ya Dunia post covid imekuwa hivyo na hali hii imechangiwa na Chumi nyingi za Dunia kuanza ku kua tena baada ya kuanguka kwa sababu za covidJapo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana.
Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa.
Chini ya Trump Marekani ilitengeneza most secured border, yaani uhamiaji wa hovyo ulipungua mno, Trump alidhibiti kweli uhamiaji.
Jinsi Biden alivyojiondoa Afghanistan ni kituko. Kwenye mitandao watu wanammiss Sana Trump, na ukifatilia sahivi mikutano anayoitisha Trump ya Save America jamaa bado anakubalika Sana.
Kwenye Republicans hakuna wa kum-difeat Trump, kazi itabaki kwa wananchi
Republican ina watu wengi sana wanaoweza kum challenge Rais Biden na ikiwezekana kumshinda, mmojawapo ni aliyekuwa Makamu wa Trump, Mike Pence.So rep watamsimamisha nani? Au unadhani 2024 ni mbali?
Baada mjadili siasa na uchumi wa nchi yetu majadili siasa za marekani pia hao hao wamarekani wananchi wao awanagashobo na siasa ya nchi yetu na hata afrika yetu acheni shobo wajomba tujadili nchi yetu kwanza au afrika yetu kwenye Nyanja zote afya ,elimu,siasa,uchumi,Kilimo nishati, usafirishaji na michezo tujuwe tuna kwama wapi na tunaenda wapi sio inshu kujadili siasa za watu weupe kama mngerikuwa na bahati ya kukiona kizazi cha hakina NYERERE ,KARUME 🇹🇿 MANDELA🇿🇦 ,SAMORA MASHELI 🇲🇿 ,PATRICK LUMUMBA🇨🇩 ,MUGABE 🇿🇼,JOMO KENYATTA 🇰🇪,OBOTTE 🇺🇬 nk
mngejifuza jambo na msingeshobokea siasa za nje ya bara letu la afr