Kwa yanayoendelea Marekani, Trump uenda akagombea na kushinda tena

Trump mwaka Jana alishinda kwa figisu. Zile mail votes ndizo zilitumika kufanya mchezo. Haiwezekani Kila kura inayooigwa kwa posta ni ya Biden. Pia uwepo was Corona ulichangia. Bila hivyo Biden ni mwepesi kwa Trump. Trump alikuwa anapambana na media na intelligence Kila mtu aligang up kumuondoa Trump. Mimi namkubali Trump maana anapiga Vita ushoga. Leo marekani in waziri shoga, Tena siku ya kuapishwa alinyonywa denda na mumu wake mbele ya camera. Long live trump
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]eti anguko Mtu anapata 74m votes kuzidi ata za Obama (popular votes) afu unasema anguko,,, John Maccain ndo Republican candidate aliyeiangusha Sana Rep yaani alizidiwa na Obama like two times kwenye electrol votes
 
Na Mimi namkubali Sana jamaaa
 
Trump atashnda asubuhi na mapema
 
Biden kama ndiye angekuwa Trump basi angesemwa sana. Jamaa kafail sana sema kwkauwa ni kipenzi cha fake news huwezi kusikia.
Sijui nini kimetokea US, hata siasa zao zimekaa kaa ovyo siku hizi.
US ya Clinton na Bush ilikuwa noma bwana.
Siku hizi imekuwa US ya kulalamika kwa kila kitu anachofanya China
 
Nadhani biden kawekwa na deep state kwa sababu sera za Trump hazieleweki, wamarekani hata conservatives wana sema Obama ndio ana endesha nchi saivi
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]eti anguko Mtu anapata 74m votes kuzidi ata za Obama (popular votes) afu unasema anguko,,, John Maccain ndo Republican candidate aliyeiangusha Sana Rep yaani alizidiwa na Obama like two times kwenye electrol votes
Utalinganishaje idadi ya wapiga kura wa mwaka 2008 na wa 2020?

Kikwete mwaka 2010 alishinda kwa kura 5M, mwaka 2015 Lowassa akapata kura 6M Ila hakushinda. Kwa akili zako hizi maana yake Lowassa ndiye Rais mbele ya Kikwete siyo?.
Na kwa taarifa yako mtu aliyetia aibu kwa Republican ni Bush Baba mwaka 1992 kwa Clinton na si McCain kwa Obama.
 
Hata huku walitaka Mkapa na Jakaya wagombee tena, kwani katiba inasemaje...
 
Kitu kama hukijui unauliza tu ili ueleweshwe.
Biden aliamua kufuata taratibu zote za kujikinga na Covid kwa kuhutubia mikutano mingi kwa video akitokea nyumbani kwake Wilmington, Delaware.
Hii ilimfanya awe na muda mwingi wa kuongea na watu nyakati zote.
Na wakati mwingine aliingia kwenye umati.

Kwenye kura pia aliwasisitiza wapiga kura wake watumie njia zote na hasa njia ya posta.

Trump yeye aliwambia wapiga kura wake waende ileile ya live na wasitumie kabisa njia ya posta.

Sasa kama jamaa yako aliwaambia wapambe wake wasitumie posta ulitegemea kura zake zipatikanaje huko posta? Ukipandacho ndicho unachovuna!.

Kuhusu ushoga hilo ni sanaa tu kwa Trump.
Kama alikuwa na nia ya dhati ya kupambana nao si angepeleka mswaada wa kukomesha kabisa hiyo kitu na hasa kwa kuwa bunge la seneti lilikuwa upande wa chama chake? Hata kama mswaada huo ungekwama angalau tungeona ana nia ya dhati.

Kumlaumu mshikaji aliyepigwa denda siku ya uapisho ni kutomtendea haki kwa kuwa sheria za nchi yake zinaruhusu hivyo.

Mtu wa kuinusuru Republican si Trump, walau Mike Pence anaweza.
 
Ndo maana nkakuwekea n.b Ni popular votes,my point is why Kama wamarekani wanaojua kichaa Cha Trump mwaka 2020 walimpa kura nyingi Sana kuzidi za 2016(popular vote)
Hawawezi kukujibu mkuu wataanza bla bla za electoral college utafikiri huzijui....
 
Biden kwakweli hamna kitu Trump alifanya mengi mazuri sema media zilikuwa hazimpendi
 
Nadhani biden kawekwa na deep state kwa sababu sera za Trump hazieleweki, wamarekani hata conservatives wana sema Obama ndio ana endesha nchi saivi
Kama bongo wanavyosema Jk
 
We kiazi acha kujifanya unajua Obama alipata 65m 2008 na 2012 alipata 63m namaanisha popular vote so mwaka 2008 na 2012 Ni sawa?
 
We unabwabwajwa tu eti Pence[emoji1][emoji1]
 
Siasa nimegundua hazina nchi sijui wameelimika au nini. Angalia fox news utaelewa wana pinga kila kitu mpaka chanjo
Fox news hao ni washikaji wa Trump yaani wanamponda biden mwanzo mwisho
 
Hawarudii mgombea mara mbili kama huku kwetu, Ukishagombea ukaangukia puwa, Ndiyo safari yako inaishia hapo. Huku bongo mtu anagombea tangu 1995 hadi leo.
 
Hawarudii mgombea mara mbili kama huku kwetu, Ukishagombea ukaangukia puwa, Ndiyo safari yako inaishia hapo. Huku bongo mtu anagombea tangu 1995 hadi leo.
Huo ni utamaduni sio Sheria zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…