Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Japo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana.
Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa.
Chini ya Trump Marekani ilitengeneza most secured border, yaani uhamiaji wa hovyo ulipungua mno, Trump alidhibiti kweli uhamiaji.
Jinsi Biden alivyojiondoa Afghanistan ni kituko. Kwenye mitandao watu wanammiss Sana Trump, na ukifatilia sahivi mikutano anayoitisha Trump ya Save America jamaa bado anakubalika Sana.
Kwenye Republicans hakuna wa kum-difeat Trump, kazi itabaki kwa wananchi
Kwani hujasikia kuna possibility ya kumchagua makumu mwanamke wa hispanic au Africa ili kuvutia hayo makund... lolote laweza kutokes2016 hawakujua umbovu wake kwasasa wanamjua sanaa yule nikama kichaa hamna mspanids au Black America au latini America wakumpa kura kumbuka hao minority race wako 60% katika wapiga kura, kwahiyo ni vingumu kupitisha labda kama republican party wanajianda kupoteza uchanguzi.
Kwa taarifa yako huyo Pence ndiye aliyefanya Trump achagulike mwaka 2016.We unabwabwajwa tu eti Pence[emoji1][emoji1]
Tatizo lako unalinganisha vitu visivyoendana mbumbumbu wewe,We kiazi acha kujifanya unajua Obama alipata 65m 2008 na 2012 alipata 63m namaanisha popular vote so mwaka 2008 na 2012 Ni sawa?
Na wewe unambishia bure jamaa amekupa facts na figure umekimbilia kwa mgombea, Kama Trump hapendwi why kura zake zilipanda zaidi ya 9mTatizo lako unalinganisha vitu visivyoendana mbumbumbu wewe,
Popular votes za Obama kupanda na kushuka kulitokana na aina ya wagombea aliokutana nao kwa nyakati hizo tofauti.
Challange ya McCain mwaka 2008 huwezi kuilinganisha na ya Mitt Romney mwaka 2012.
Walau wagombea wangebaki walewale wa mwaka 2008 tungesema Obama alifeli ndiyo maana kura zake zilipungua.
Mwanasiasa machachari kama Romney utamlinganishaje na McCain? Ifike mahala ujitambue basi Mkuu!.
Unambishia bure mkuu Trump alipataje nomination ya Republican Kama alikuwa hakubaliki,, sahivi mikutano yake ni shida maelfu kwa maelfu wanaudhulia mikutano yake, so wanaletwa Pence,Kwa taarifa yako huyo Pence ndiye aliyefanya Trump achagulike mwaka 2016.
Wamarekani hawakuwa na Imani na huyo mwehu wako hadi baada ya uteuzi wa mgombea umakamu ndipo hata kura za ushawishi zikapatikana.
Ndiyo maana nakwambia wewe hujui lolote kuhusu siasa za Marekani na ni vyema ukawa mtazamaji ti.
Mkuu Kuna watu wanabisha kuwa Trump anakubalika Sana Tena sanaKwani hujasikia kuna possibility ya kumchagua makumu mwanamke wa hispanic au Africa ili kuvutia hayo makund... lolote laweza kutokes
Kujifariji ni jambo jemaTrump atashnda asubuhi na mapema
Mkuu ni republican delegates ndio wanaamua kwenye kura za kuchagua atakayegombea kwenye chama chao. Na delegates wengi republican wanamuunga mkono Trump. Kumbuka pia wakati Trump akigombea kuwa urais watu wengi walidharau hivihivi lakini jamaa akachanja mbuga.Sio rahisi kama unavo fikiria republican party, hawawezi kifanya kosa la kumrudisha trump, hao wanao mtaka trump ndo wale wazungu utra-nationalists wabaguzi ila idadi yao ni ndogo hawawezi kishinda uchanguzi.
Ni ukweli tena uko wazi wazi kama sawa na antena juu ya batiKujifariji ni jambo jema
Jamaa anabisha tu Ila Trump anakubalika sanaMkuu ni republican delegates ndio wanaamua kwenye kura za kuchagua atakayegombea kwenye chama chao. Na delegates wengi republican wanamuunga mkono Trump. Kumbuka pia wakati Trump akigombea kuwa urais watu wengi walidharau hivihivi lakini jamaa akachanja mbuga.
Mbona hamuelezi alichofeli? Wishful thinkingBiden kama ndiye angekuwa Trump basi angesemwa sana. Jamaa kafail sana sema kwkauwa ni kipenzi cha fake news huwezi kusikia.
Sijui nini kimetokea US, hata siasa zao zimekaa kaa ovyo siku hizi.
US ya Clinton na Bush ilikuwa noma bwana.
Siku hizi imekuwa US ya kulalamika kwa kila kitu anachofanya China
Wajinga tu hao... kila mtu anamuogopa Trump ndani na nje ya chama. Yule ndo aliifanya marekani iheshimike... watu walikuwa wanafunguliwa akili...Mkuu Kuna watu wanabisha kuwa Trump anakubalika Sana Tena sana
Mfano mmoja ni jinsi alivyoondoa majeshi Afghanistan exit plan ilienda kombo na irisk maisha ya wafanyakazi wengi wa Marekani.Mbona hamuelezi alichofeli? Wishful thinking
Alipata kwa sababu upande wa pili walikuwa na Mwanamke,Unambishia bure mkuu Trump alipataje nomination ya Republican Kama alikuwa hakubaliki,, sahivi mikutano yake ni shida maelfu kwa maelfu wanaudhulia mikutano yake, so wanaletwa Pence,
So ndo husibishe hakuna vya nafuu Trump ana ungwa mkono saaaaaanaAlipata kwa sababu upande wa pili walikuwa na Mwanamke,
Na yeye ndiye alionekana ana unafuu miongoni mwa Republican wa mwaka huo waliokuwa wametia nia.
Kujaza watu wala si tiketi ya kusema anakubalika,wengine wanakuja kusikiliza na kuburudika kwa comedy zake tu na wala si kwamba wanakuja kisa wanataka awe Rais wao tena.
Trump anarudi kwenye urais tenaJapo haters wa Trump hawataki kukiri, Ila ukweli biden amefeli Sana.
Marekani Kuna mfumko mkubwa Sana wa bei, kuliko kipindi Cha Trump, kwenye border Biden ndo ameboronga kabisa.
Chini ya Trump Marekani ilitengeneza most secured border, yaani uhamiaji wa hovyo ulipungua mno, Trump alidhibiti kweli uhamiaji.
Jinsi Biden alivyojiondoa Afghanistan ni kituko. Kwenye mitandao watu wanammiss Sana Trump, na ukifatilia sahivi mikutano anayoitisha Trump ya Save America jamaa bado anakubalika Sana.
Kwenye Republicans hakuna wa kum-difeat Trump, kazi itabaki kwa wananchi
Nimekwambia kama kigezo ni wingi wa wanaokuja kumtazama Basi unakosea sana.So ndo husibishe hakuna vya nafuu Trump ana ungwa mkono saaaaaana
CoolNimekwambia kama kigezo ni wingi wa wanaokuja kumtazama Basi unakosea sana.