Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

Tangu awali mimi nilikuwa na mashaka kuhusu Treni ya umeme. Kwanza umeme wetu sio stable pili ni rahisi kuhujumiwa na tatu watanzania bado hawajawa kuwa civilised! Bora tungejenga reli kisha tumpatie mwelezaji aiendeshe.
 
CCM Hawana nia ya dhati ya kulipatia taifa letu maendeleo. Miradi yote kwao ni dili.

Wao ndio wahujumu namba moja wa SGR
 
Tangu awali mimi nilikuwa na mashaka kuhusu Treni ya umeme. Kwanza umeme wetu sio stable pili ni rahisi kuhujumiwa na tatu watanzania bado hawajawa kuwa civilised! Bora tungejenga reli kisha tumpatie mwelezaji aiendeshe.
Wala umeme hauna shida kuna Bwawa la Mwl Nyerere sasa hii ya kuanza kununua Makaa ya mawe ni upigaji tuπŸ˜…πŸ˜…
 
Hawa watu wanaliangamiza taifa. Mungu atusaidie tu jamani,Maana tunafikia mwisho.
 
Si kweli. Hapo ndio kwenye mzizi wa shida
Kazi ya TISS ni kudhibiti hao wanasiasa mafisadi ambao ndio wanakuja kuwa viongozi na kuliangamiza taifa. Tunawataka TISS muwe wazalendo kwa taifa p'se. Angalau taifa lianze kustawi.
 
Inamaana uliwahi kuwaamini?
Ulikuwa na matatizo wewe ila sasa unaelekea kupona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…