imani na ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Majasusi,Tuleteeni RaisToka chama kidogo,kama hamna Imani na CCM ya sasa!

    Inawezekana kabisa kumpata Rais Toka chama kisicho maarufu nchini ,tunajua uchaguzi na upigaji kura hutumika kuhalalisha ushindi uliokusudiwa nyuma ya pazia!! Nimechunguza kampeni za uchaguzi mwaka huu na nikaona Bado Kuna vichwa vyenye uwezo wa kuongoza vikipewa nafasi hasta kwa miaka mitano...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Sijaona dalili za Watanzania kupoteza imani na CCM

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema bado hajaona dalili za wananchi kutokukiamini chama hicho kutokana na kazi iliyofanywa na chama hicho ya kuboresha maisha yao. Akizungumza na wanachama wa chama hicho wilayani Mbozi mkoani Songwe juzi, Wasira alisema kazi...
  3. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

    Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious. Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli. Tunafahamu...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa imani, matumaini na mapendo ya watanzania wengi ni CCM pekee

    Ndoto, matarajio na matamanio ya Watanzania wengi wa makundi mbalimbali kwa sasa ni katika Chama Imara Sana cha Mapinduzi (CCM). Hii ni kutokana na mipango na mikakati yake katika kuwaongoza, kuwatumikia na kuwaletea Watanzania wote maendeleo. Nchi imefunguka vizuri, biashara imefunguka...
Back
Top Bottom