Majasusi,Tuleteeni RaisToka chama kidogo,kama hamna Imani na CCM ya sasa!

Majasusi,Tuleteeni RaisToka chama kidogo,kama hamna Imani na CCM ya sasa!

RESILIENT KATO

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
4,504
Reaction score
8,842
Inawezekana kabisa kumpata Rais Toka chama kisicho maarufu nchini ,tunajua uchaguzi na upigaji kura hutumika kuhalalisha ushindi uliokusudiwa nyuma ya pazia!!

Nimechunguza kampeni za uchaguzi mwaka huu na nikaona Bado Kuna vichwa vyenye uwezo wa kuongoza vikipewa nafasi hasta kwa miaka mitano ya mabadiliko!

Salum mwalimu,Ngombale mwiru na n.k wanaweza kutuvusha!

Pale congo DRC Joseph kabila alipoona mambo magumu alikipa chama kidogo ushindi baada ya kuona chama tawala sio chaguo la wananchi!!

Tupeni Rais ambaye mtamdhibiti huku akijua hana nguvu na ameingia Kwa nguvu za Dola na kijasusi na itawasaidia kuleta mabadiliko na mageuzi.

Hiyo ni Bora kuliko maandamano yatakayoua nguvu KAZI ya taifa!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kama mkinisikiliza mnaweza kuokoa taifa linaloenda kugawika Kwa uchaguzi huu!!

Tumieni fursa hii walau tupate Rais mpya Toka Chama kidogo!

Asanteni kwa kusoma!!
 
Inawezekana kabisa kumpata Rais Toka chama kisicho maarufu nchini ,tunajua uchaguzi na upigaji kura hutumika kuhalalisha ushindi uliokusudiwa nyuma ya pazia!!

Nimechunguza kampeni za uchaguzi mwaka huu na nikaona Bado Kuna vichwa vyenye uwezo wa kuongoza vikipewa nafasi hasta kwa miaka mitano ya mabadiliko!

Salum mwalimu,Ngombale mwiru na n.k wanaweza kutuvusha!

Pale congo DRC Joseph kabila alipoona mambo magumu alikipa chama kidogo ushindi baada ya kuona chama tawala sio chaguo la wananchi!!

Tupeni Rais ambaye mtamdhibiti huku akijua hana nguvu na ameingia Kwa nguvu za Dola na kijasusi na itawasaidia kuleta mabadiliko!!

RIP Humphrey pole pole!
1761133364653.jpg
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
Hii hapana!haifai!

Kumwaga damu ya watz kiss uchaguzi ni ujinga!

Bado tunaweza kipa chama kidogo ushindi tukatumia nafasi hiyo kufanya mageuzi !

Majasusi wanaweza kabisa hilo!
 
Priority ya watanzania kwa sasa si Rais bali ni REFORMS. kwa mfumo huu hata Rais akiwa malaika ni LAZIMA atainajisi KATIBA.
Ujeuri wote huu wa CCM kuteka watu, kutesa watu na kuua wanaupata kutoka kwenye Katiba, eti mtu mmoja Rais anachagua kila kiongozi wa Serikali katiba ya wapi hiyo Dunia ya leo. Watanzania hasa vijana acheni uzezeta umtatawazwa na CCM hadi mkome.
 
Priority ya watanzania kwa sasa si Rais bali ni REFORMS. kwa mfumo huu hata Rais akiwa malaika ni LAZIMA atainajisi KATIBA.
Ujeuri wote huu wa kuteka watu, kutesa watu na kuua wanaupata kutoka kwenye Katiba, eti mtu mmoja Rais anachagua kila kiongozi wa Serikali katiba ya wapi hiyo.
Akitoka chama kidogo atakua Hana trusted nertwork ya kufanya hayo,itabidi afate maelekezo ya Dola na majasusi Kwa usalama wake na mageuzi yatafanyika bila ya yeye kuwa na means kuzuia!!

Kuanzia kwenye uteuzi wa wabunge kwenye bungee la katiba Kwa kupendekeza watu mtambuka was kuweza kufanya KAZI ya mageuzi yanayohitajika!!

Mungu ibariki Tanzania!
 
Hatuna majasusi kama nchi, maana sio kwa huu useng unaoendelea
 
Salum mwalimu anaweza!tukimpa fursa!😂😂😂
Ndio!anaweza tumika in a positive way!!

Utajuaje kama mission ya Mbowe kuutengeneza upinzani ilishakamilika!

Na ni ngumu kumpa mtu radica kama Tundu lisu nchi kuiongoza ikabidiwaitengeneze compromised chadema kupitia chauma!!?

Huo no mchoro ambao Kuta za Siri zaweza kujua pin code zilipo setiwa!
 
Back
Top Bottom