Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

Usishangae niwazo la rais nakimeungwa mkono wolooo Tz hii baba. Unasifia mpaka mwisho wazo la Rais ukijifanya nyenyenye wanakutoa ukapige kelele kama Mpina wolooo
 
Hata Rais akiwaita wote wajinga mnapiga na makofi acha kabisa inatisha usione wazee na vitambi wanapiga magoti kwa mama nakugalagala shauri yako hii ni Tz.
 
Haya mambo yanachanganya sana.Maana ukija kwenye hawa waajiriwa wa taasis za umma kama walimu na watu wa afya asee huko usalam wa taifa na ccm wananguvu saana.Utakuta kauli za wakuluu et hum miongon mwenu kuna wengine ni tiss na ukijichanganya kudiss ccm tuu ujue taarfa wanazo na watadeal nawew au taasis nzima mtakiona cha moto. Sasa kwenye mambo mazito ya kitaifa ambayo hata walalahoi wa matombo wanayajua huoni nguvu hizo zikitumika au kauli za serikali ina mkono mrefu.Ila pia kwa ufuatiliaji wangu mdogo nmejilidhisha pia sis watz tulio wrngi ni wezwez na viongoz wasioiba tunawaona mafala,yaan uzalendo wetu uko chini saana tunaendekeza njaa na tamaa.Na hawa viongoz wezwez wanawakilisha taswira halisi ya asilimia kubwa ya watz.Hivo niseme kwamba tiss wanakaz ya ziada.Na hao wanaojinasibu kuongoz nchi tangu uhuru wamechangiza kulilea taifa ktk misingi ya wizwiz/ujanja ujanja.
 
Technically civil services yote ni usalama wa taifa na mwongoza agenda ni katibu mkuu kiongozi.

Karibu mkuu kiongozi kama head of civil services ndio head wa usalama wa pia.

Kwa siasa zetu usalama bado sana.

Achilia maswala ya aligning strategic planning ya mashirika ya serikali na mikakati mingine ya wizara na makatibu.

Watu wenye jukumu la ku-execute government plans ni makatibu wakuu sio Kadogosa.

But then you have to understand a lot of things for that point to make sense.

Shitty country, lakini kununua vichwa diesel sio kosa; it depends on the business strategy.

Tanzania ni maskini kwa sababu aina watu wenye uwezo bado wa kuendesha nchi sio ndani ya CCM tu, Iła hadi kwenye civil services.

Bado.
 
Tunahitaji watu kwa kuwa serikali hutoka Kenya watu hao.
Watu wenye akili nzuri hawatakubali serikali za hovyo.
Watu hovyo = serikali hovyo
Ili watu wasiwe wa hovyo ni lazima kuwepo na sheria kali kama zile za China na majirani zao !
Kama watu ni wa hovyo ni lazima watafutiwe namna ya kuuondosha Uhovyo wao !
Vinginevyo watabaki na huo Uhovyo maisha yao yote na ni lazima watawaambukiza huo Uhovyo mpaka kwa vizazi na vizazi ,

Hii imeshakuwa ni Hovyo Pandemic 😷 ni lazima itafutiwe kinga na Dawa ya kuiondosha 🙏

Tujiulize Nchi kama China walipoweka sheria kali katika kuzilinda mali za Umma waliona nini mpaka wakaamua vile ??!

Tusijidanganye kufuata Demokrasia za Wazungu ! Kwa sababu wale wana misingi ya makuzi ya watoto wao tofauti kabisa na sisi !
Sisi huanza kuwafunza uongo watoto wetu tangu wakiwa wadogo!
Kama unadaiwa unawaambia watoto akija Baba fulani mwambieni Baba amesafiri !
Hivyo hata tukikua tunaendelea na hizo hizo tabia za Hovyo tulizofunzwa tangu utotoni !

Hii ni PANDEMIC 😷 NI LAZIMA ITAFUTIWE KINGA NA DAWA KALI KAMA ZA UCHINA 😳🙏
 
Idara hii nayo ije ifumuliwe, ijengwe upya tu. Wakafanye case studues kwa wengine tuone wamefanya nini kutenganisha idara zao za usalama na wanasiasa.
Nchi zenye historia ya ujamaa.- Serikali ndo kitu cha kwanza then wananchi ndo wanafuata. So idara zinakuwa zinafanyakazi kulinda serikali zaidi kuliko wananchi.
Idara gani inaruhusu: mauaji, mikataba fake, wizi wa uchaguzi, uharibifu wa miundo mbinu, maonevu kwa watu - watu wanabambikiwa case, matumizi mabaya ya rasilimali za taifa mfano mtu anakamatwa Mbeya analetwa Dar na kurudishwa Mbeya then anaachiwa, miradi inakufa - SASA huo usalama unafanya nini jamani? Humu huwa wanatetea ohh..wao ni kutoa taarifa tu mengine hayawahusu.JAMANI kwa waswahili hawa....kama wanatoa taarifa na hazifanyiwi kazi basi kuna haja ya kubadirisha sheria ili ziwabane watu watii recommendations..
Tunasafari ndefu sana
 
Unazijua kazi za Idara ya Usalama?
Kwa mtu unayejiongeza hahitaji hata kujua kazi zao specifically ili kugundua kuwa wanafail au hawana meno.
Magufuli alikua analalamika sana jinsi tunavyoibiwa, jinsi watu walivyowazembe, jinsi mambo yalivyo - [Unashangaa Rais analalamika, nani anamsaidia sasa.hakuna watu wa kumsaidia???]
Mama Samia mwenyewe kuna muda anakuwa mkali, analalamika - KAMA MTOTO yatima vile
 
Lucas Mwashambwa fika huku fasta utetee hujuma ambazo Kadogosa analihujumu taifa
Huyu Bumunda atakuuuliza "una ushahidi?
Ukimwambia mathalani aache kumpigia Debe bashite ni hooligan anakwambia una ushahidi? Ukimuuliza Magu aliwapatanisha Na Ruge kule Tanga kwa sababu gani! Hawezi kukupa majibu!
Infact hata Rais akiiba hadharani Lucas atabubujikwa machozi ya furaha
 
Amesema ni bichwa vya Hybrid ili.kukabiliana na dharula za umeme ,Sasa hapo Kuna ubaya gani?
 
Idara na taasisi zote za Uma ni watu.
Watu wa hovyo huunda taasisi za hovyo.
Tunategemea taasisi nzuri wakati huo huo tuna wananchi na jamii nzima ya hovyo?
Tuanze kwa kuwafundisha watu wetu wote kuanzia watoto mpaka watu wazima wasikubali upuuzi, wapambane kusimamia na kutekeleza yaliyo bora kwa maendeleo yao.
Kutokana na watu hao, tutapata taasisi imara hadi serikali bora kwa maendeleo endelevu ya taifa.
 
NI zwazwa
 
Nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji Watu, Ardhi, Siasa safi na Uongozi Bora. Tanzania hamna watu, kuna mijitu tu inayofikiria kwa kutumia tumbo. Akili ni za kuvukia baraabara tu
 
Apigwe chini then tukukabidhi wewe?????
Weka na solution.
#CRITICAL THINKER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…