Kwa yanayoendelea,ni suala la muda tu kabla Marekani hawajachukua hatua za kuwawekea vikwazo viongozi fulani wa nchi hii

Usiwaamini sana mataifa makubwa.Na hili ni kosa naliona vyama vya upinzani vinaanza kuelemea huko.Hawa ni watu wa maslahi na angalia nchi kama Saudi Arabia,mila na desturi zao na msimamo wa marekani kwao.Angalia Jamal Kashogi kakatwa vipande na bado Mwana mfalme anadunda.
Juzi juzi kuna clip ilitembea ambapo bulldozer au Cartepillar la Israel lilikuwa likimburuza Mpalestina alieuawa.
Marekani hawakuchukua hatua.
Ni kosa kuwategemea hawa.Awamu ya tano inaamini katika utumiaji nguvu na vyama vya upinzani vinatakiwa kuangalia njia bora ya kuwasilisha mambo yao kwani wakitumia nguvu wataumia wao zaidi.
Mkuu, kwa hali ilivyo sasa na jinsi mambo yanavyiendelea bila pressure kutoka nje hakuna kitakachoendelea. Mabeberu yanahitajika sasa kuliko wakati wowote.
 
Ulitaka akupende wewe????

Shwaini mkubwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Kea hiyo unamaanisha anavyowapenda hao yeye ni shoga? Pia wewe unaependa kusifia sana hao kapimwe malinda. Hata kama inch yako ni duni si kila siku kuabudu taifa lingine kila uamkapo, itafika mda mtataka wawazalishie na wake zenu.
 
Mpaka sasa Marekani wameshaonya zaidi ya mara moja ila wahusika wametia pamba masikioni na kuendeleza matendo yao ya unyanyasaji na ukiukaji wa haki za binadamu hasa kwa wanasiasa wa upinzani.

Kwa sababu hiyo,msishangae wakati wowote kuanzia sasa serikali ya Marekani ikatangaza hatua kadhaa dhidi ya viongozi wa nchi hii wanaotuhumiwa kuhusika na ukandamizaji huu unaoendelea.

Hatua hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuweka zuio la viongozi hao kwenda Marekani,kusitisha misaada ya fedha,kuzui mali za viongozi hao zilizoko Marekani(kama wapo wenye mali hizo),n.k'.

Kwa msisitizo tu,hili la kuwekea vikwazo linakwenda kutokea mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu iwapo hali hii itaendelea bila kukoma.

Hata hivyo,ili chama fulani kianguke,ni lazima ukandamizaji na unyanyasaji huu ushike kasi na ndipo hatua kama hizo zinaweza chukuliwa na mataifa makubwa na pia kuufanya umma ukichukie chama hicho na viongozi wake.

Vile vile inawezekana Mungu karuhusu haya yatokee(Mungu ana makusudi yake) ili anguko la hawa watu litimie wakati wowote kuanzia sasa.

Anguko la hawa jamaa ni process(mchakato),process ambayo imeshaanza huku wao wenyewe kwa matendo yao, bila kujijua, waki-provide catalyst ku-speed up anguko lao.

Time will tell.
Joe Biden angekuwa yupo Bongo kwa sasa angeshakuwa mfungwa huko Segerea.
 
Umeandika vzr Ila hupaswi kuwashtua Hawa wapuuzi usimwamshe alie lala.
 
Wakiwekewa ndio ugumba wako utapona?
Mpaka sasa Marekani wameshaonya zaidi ya mara moja ila wahusika wametia pamba masikioni na kuendeleza matendo yao ya unyanyasaji na ukiukaji wa haki za binadamu hasa kwa wanasiasa wa upinzani.

Kwa sababu hiyo,msishangae wakati wowote kuanzia sasa serikali ya Marekani ikatangaza hatua kadhaa dhidi ya viongozi wa nchi hii wanaotuhumiwa kuhusika na ukandamizaji huu unaoendelea.

Hatua hizo zinaweza kuwa ni pamoja na kuweka zuio la viongozi hao kwenda Marekani,kusitisha misaada ya fedha,kuzui mali za viongozi hao zilizoko Marekani(kama wapo wenye mali hizo),n.k'.

Kwa msisitizo tu,hili la kuwekea vikwazo linakwenda kutokea mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu iwapo hali hii itaendelea bila kukoma.

Hata hivyo,ili chama fulani kianguke,ni lazima ukandamizaji na unyanyasaji huu ushike kasi na ndipo hatua kama hizo zinaweza chukuliwa na mataifa makubwa na pia kuufanya umma ukichukie chama hicho na viongozi wake.

Vile vile inawezekana Mungu karuhusu haya yatokee(Mungu ana makusudi yake) ili anguko la hawa watu litimie wakati wowote kuanzia sasa.

Anguko la hawa jamaa ni process(mchakato),process ambayo imeshaanza huku wao wenyewe kwa matendo yao, bila kujijua, waki-provide catalyst ku-speed up anguko lao.

Time will tell.
 
Usiwaamini sana mataifa makubwa.Na hili ni kosa naliona vyama vya upinzani vinaanza kuelemea huko.Hawa ni watu wa maslahi na angalia nchi kama Saudi Arabia,mila na desturi zao na msimamo wa marekani kwao.Angalia Jamal Kashogi kakatwa vipande na bado Mwana mfalme anadunda.
Juzi juzi kuna clip ilitembea ambapo bulldozer au Cartepillar la Israel lilikuwa likimburuza Mpalestina alieuawa.
Marekani hawakuchukua hatua.
Ni kosa kuwategemea hawa.Awamu ya tano inaamini katika utumiaji nguvu na vyama vya upinzani vinatakiwa kuangalia njia bora ya kuwasilisha mambo yao kwani wakitumia nguvu wataumia wao zaidi.

Subiri miezi michache ijayo wanaume wafanye kweli halafu ndiyo urudi hapa kusema hayo.

Nchi inachungulia kaburi nyie mnafanya siasa za kishamba hapa. Mtakimbia nchi shauri yenu, nyie subirini waje muone.
 
Back
Top Bottom