Kwa yanayotokea Chato leo, Mwigulu ni wazi HAPENDWI

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,034
Reaction score
74,732
Kila akitajwa Majaliwa umati wa wananchi unainuka na kumshangilia kwa nguvu sana.

Hii inamjibu Mwigulu aliyesema yeye hajali kupigiwa makofi wala kupendwa kwani keshapendwa na mkewe.

Nadhani atakuwa mwanasiasa wa kwanza duniani kuamini kuwa kupendwa na mke kunatosha pekee.

Hili la leo ni somo kwa Mwigulu na hata aliyemteua.
 
Clip please
 
Back
Top Bottom