Clip pleaseKila akitajwa Majaliwa umati wa wananchi unainuka na kumshangilia kwa nguvu sana.
Hii inamjibu Mwigulu aliyesema yeye hajali kupigiwa makofi wala kupendwa kwani keshapendwa na mkewe.
Nadhani atakuwa mwanasiasa wa kwanza duniani kuamini kuwa kupendwa na mke kunatosha pekee.
Hili la leo ni somo kwa Mwigulu na hata aliyemteua.
Pascal Mayalla eti ni kweli?Mayalla atakuwa anachekea tumboni leo ,ππ