chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata taarifa zao za kina.
Idd Amin alivyosema Kagera ni ya Uganda...... inawezekana kijeshi alishindwa, ila anaweza kutumia njia ya kuingiza watu taratibu kwa miaka mingi. Huu mchezo pia anao Rwanda.
Watu wa mipakani watuelewe tu tunapohitaji taarifa nyingi kutoka kwao