Kwa yanayotokea Goma, ni dhahiri vyombo vya dola vinatakiwa kuwa makini zaidi kudhibiti wahamiaji haramu mipakani

Kwa yanayotokea Goma, ni dhahiri vyombo vya dola vinatakiwa kuwa makini zaidi kudhibiti wahamiaji haramu mipakani

Acha uchoyo mkuu.
Nchi imejaa kila aina ya Watu..
Tutakufa tutaiacha.

Watusti wamejaa kagera na Tabora.
Wahutu wamefika hadi mbeya
Wakongomani tupo nao hapa mjini Dsm kila kona.

Waje Tanganyika kuna ka utulivu .
Wakongoman hawana shida, shida ni hao malaya wanaitwa watutsi, hao ni hatari, akigundulika arudishwe kwao haraka sana.
 
Hili suala nishalipigia sana kelele nikaonekana mbaguzi
Ila kimsingi sisi huku hasa mkoa wa Kagera Kuna wahamiaji haramu wengi mno
 
Wanasiasa na mamlaka zao walivyo wapuuzi hata hili watalipuuzia.
Yaani wamelala fofofo.

Sasa hivi tunapiga kelele kuwasanua ila hawajali, lakini siku hali ikianza kuwa mbaya utawasikia majukwaani eti "Wananchi tuwe wamoja tushirikiane tuwe wazalendo"

PUMBAVU ZENU WANASIASA MNAOTUPUUZIA
 
Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.

Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata taarifa zao za kina.

Idd Amin alivyosema Kagera ni ya Uganda...... inawezekana kijeshi alishindwa, ila anaweza kutumia njia ya kuingiza watu taratibu kwa miaka mingi. Huu mchezo pia anao Rwanda.

Watu wa mipakani watuelewe tu tunapohitaji taarifa nyingi kutoka kwao
Too late
 
Back
Top Bottom