Uko sahihi sana kuliko sanaa na siku zote naamini kama wewe TATIZO NI SIASA.Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata taarifa zao za kina.
Idd Amin alivyosema Kagera ni ya Uganda...... inawezekana kijeshi alishindwa, ila anaweza kutumia njia ya kuingiza watu taratibu kwa miaka mingi. Huu mchezo pia anao Rwanda.
Watu wa mipakani watuelewe tu tunapohitaji taarifa nyingi kutoka kwao
Una uhakika wahamiaji haramu lazima wapite kwenye boarder posts?Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata taarifa zao za kina.
Idd Amin alivyosema Kagera ni ya Uganda...... inawezekana kijeshi alishindwa, ila anaweza kutumia njia ya kuingiza watu taratibu kwa miaka mingi. Huu mchezo pia anao Rwanda.
Watu wa mipakani watuelewe tu tunapohitaji taarifa nyingi kutoka kwao
Jana nilikuwa maeneo ya tegeta,kuna bar nilikaa jamaa kama sita wote wanaongea kifaransa,sijui ni wakongo au la!Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata taarifa zao za kina.
Idd Amin alivyosema Kagera ni ya Uganda...... inawezekana kijeshi alishindwa, ila anaweza kutumia njia ya kuingiza watu taratibu kwa miaka mingi. Huu mchezo pia anao Rwanda.
Watu wa mipakani watuelewe tu tunapohitaji taarifa nyingi kutoka kwao
Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.

Nakuunga mkono bro. Hiki ndicho kilichosababisha Mtikila kuuwawa Kama hujui. Nilikuwa nae miaka mingi mno na alikuwa na ushahidi mkubwa mno wa hili jambo. Hii jamii inayojiita wahangaza,WEKA MBALI NA WATOTO!Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata taarifa zao za kina.
Idd Amin alivyosema Kagera ni ya Uganda...... inawezekana kijeshi alishindwa, ila anaweza kutumia njia ya kuingiza watu taratibu kwa miaka mingi. Huu mchezo pia anao Rwanda.
Watu wa mipakani watuelewe tu tunapohitaji taarifa nyingi kutoka kwao
Hili unalisemea juu juu sababu kuna watu huwajui na agenda zao za kinyama na kishamba ,Siasa za Kuwabagua Watu ni jambo la hatari sana katika nchi
Siyo kubagua watu, bali tunalinda mipaka yetu na utaifa wetu.Siasa za Kuwabagua Watu ni jambo la hatari sana katika nchi
Au anaweza akawa ni mmoja wao!Hili unalisemea juu juu sababu kuna watu huwajui na agenda zao za kinyama na kishamba ,
Ukijidai kuwaonea huruma na kutowabagua ipo siku wao ndio watadai haki na kutaka kukuongoza mwenyeji
Huyo ni mmoja wao Mkuu. Fuatilia mwanzo wa mjadala kuhusu mzozo wa Congo na M23 utamwelewa.Au anaweza akawa ni mmoja wao!
Kwa sababu wakianza kuambiwa ukweli wanakimbilia kwenye ubaguzi.
Kulinda mipaka na kuwa na taarifa sahihi kwa wanaoingia nchini ndo Kila kitu. Isije fika mda Hali ikawa mbaya na akaja kiongozi ambaye atahitaji wazamiaji halamu kurudi kwao akaonekana mbaya kama Trump. Ivyo tuige kwa Trump, kwa sasa anaangaika kuwatoa waliozamia kwake bila taarifa kamili na anaknekana mbaya.Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata taarifa zao za kina.
Idd Amin alivyosema Kagera ni ya Uganda...... inawezekana kijeshi alishindwa, ila anaweza kutumia njia ya kuingiza watu taratibu kwa miaka mingi. Huu mchezo pia anao Rwanda.
Watu wa mipakani watuelewe tu tunapohitaji taarifa nyingi kutoka kwao
Tatizo lao wanadhani watu ni wajinga au hawaoni. Wanajiona wenye akili ni wao tu!Huyo ni mmoja wao Mkuu. Fuatilia mwanzo wa mjadala kuhusu mzozo wa Congo na M23 utamwelewa.
NaamKulinda mipaka na kuwa na taarifa sahihi kwa wanaoingia nchini ndo Kila kitu. Isije fika mda Hali ikawa mbaya na akaja kiongozi ambaye atahitaji wazamiaji halamu kurudi kwao akaonekana mbaya kama Trump. Ivyo tuige kwa Trump, kwa sasa anaangaika kuwatoa waliozamia kwake bila taarifa kamili na anaknekana mbaya.
Ivyo nasi tujizatiti kwa taarifa kamili kwa Kila aingiaye.
Naunga mkono hoja.
Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani.
Sawa, kuna wa jamii ambazo zinapatikana pande zote za nchi, wale wa kwetu tuwatambue na kuwasajili baada ya kupata taarifa zao za kina.
Idd Amin alivyosema Kagera ni ya Uganda...... inawezekana kijeshi alishindwa, ila anaweza kutumia njia ya kuingiza watu taratibu kwa miaka mingi. Huu mchezo pia anao Rwanda.
Watu wa mipakani watuelewe tu tunapohitaji taarifa nyingi kutoka kwao
Siyo kubagua watu, bali tunalinda mipaka yetu na utaifa wetu.
Hilo pia wakalitazame..mbona Wazanzibari wanaruhusiwa kuhamia Tanganyika kiholela lakini hamsemi kitu?