Kwa yanayotokea kwenye VPL ni dhahiri Yanga ni 'Untouchable'

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
314
Reaction score
438
Asalaam aleiykum wanajamvi leo nimelileta hili kwenu kuhusiana na hawa mabingwa watetezi wa vpl ya kuwa ni kama vile hawaguswi na TFF,waandishi wa habari na hata wachambuzi huwa hawawagusi hawa wanajangwani kwa mfano lile tukio la chirwa kumpiga kiwiko mchezaji wa mbeya city Tff wamelinyamazia kimya pia angalia tukio lile la jana la Yondani kumtemea mate Kwasi mpaka leo hakuna chombo chochote cha habari kinachozungumzia zaidi ya kuongelea juu juu vilevile Yanga wakiwa uwanjani huwa wanacheza vile wanavyojisikia mf WO shu,taekwando niwaase tu wadau,wachambuzi waandishi kuwa na usawa kwa timu zote.Ahsante
 
UMEKOSAAA CHA KUANDIKA TOAA HUU UPUUPUU
 
Yanga ni timu ya wananchi
 
Ulitaka watu wapige matarumbeta barabarani.

Wanaume huwa wanaongea mara moja yanaisha.
 
kamati ipo inayokaa na kuptia matukio yote yaliyotokea kwa kipindi fulan then wanatoa maamuzi kwa hiyo vuta subira.
 
Hii timu imekosa ubingwa miaka mingi ingawa INA uhakika wakuchukua lkn haijiamini KBS ingefurahi yanga ifungiwe yote.
 
Waliocheza mpira kwenye games utawajua tuuu,we umeona nini kipya kwan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…