Efendi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 314
- 438
Asalaam aleiykum wanajamvi leo nimelileta hili kwenu kuhusiana na hawa mabingwa watetezi wa vpl ya kuwa ni kama vile hawaguswi na TFF,waandishi wa habari na hata wachambuzi huwa hawawagusi hawa wanajangwani kwa mfano lile tukio la chirwa kumpiga kiwiko mchezaji wa mbeya city Tff wamelinyamazia kimya pia angalia tukio lile la jana la Yondani kumtemea mate Kwasi mpaka leo hakuna chombo chochote cha habari kinachozungumzia zaidi ya kuongelea juu juu vilevile Yanga wakiwa uwanjani huwa wanacheza vile wanavyojisikia mf WO shu,taekwando niwaase tu wadau,wachambuzi waandishi kuwa na usawa kwa timu zote.Ahsante