Kwa Yanga Hii Simba Kishaelekea Kibra

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kwa hakika leo wananchi wanaenda kufurahi sana wanaenda kuimaliza siku kwa furaha
Kwa kikosi hiki japo hakina muda mrefu pamoja upande wa pili huko ni homa na matumbo ya kuharisha kwa kwenda mbele...wamekua wanyonge sana na kufanya mambo ki uogauoga toka waondokewe na Luis na Chama...hawajiamini kabisa....na hawaiamini timu yao...na hata ukitazama maoni ya wengi mitandaoni na mitaani yanaonyesha hawa mikia tayari wanasubiri kisu tu hapo ifikapo saa kumi na moja jioni!
Kukumbushana tu kwa ambaye hakusikia ni kuwa mgeni rasmi leo ni mh Hussein mwinyi RAIS wa Zanzibar,narudia tena mgeni rasmi ni RAIS wa Zanzibar..hakika itapendeza sana.
 
Mechi yao na MAZEMBE sijaona mtu tishio wa kunifanya niende uwanjani na woga
Na ukweli umejidhirisha. Yanga ndiye Bingwa msimu huu. Wa kumzuia hayupo. Kwa aina ya kikosi chao, labda utokee muujiza.
 
kweli wewe utabiriii
 
Simba Ina maingizo mapya mengi Ila bado wavulana, wamepata mchezaji mmojatu Sakho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…