Nimeota niko na my ex gal porini,
mara simba huyoo,
ktk kutaka kujiokoa,me ndo nkawa napambana na yule simba lakini cha kushangaza yule simba akaniacha mimi na kumkimbilia yule mmanzi
akamrukia,akamrarua then yule mmanzi akawa analia sana huku analiita jina langu
bt it was too late for me coz nlikua mbali kdogo,akawa kauliwa
...ndoto ikaishia hapo baada ya mimi kushtuka toka usingzni..naomba kwa mtaalamu yeyote anisave kunipa tafsiri ya hii ndoto..
Kuota uko na ex wako maana yake utarudi nyuma kimaendeleo, angalia sana assets zako.
Kuota uko porini maana yake utapotea, angalia sana mienendo yako.
Simba ni alama ya vita na nguvu, angalia sana kuna kishindo cha nguvu cha upinzani kitakufuata.
Hata hivyo, haya matatizo yatakayokuja yatakuwa ni "blessing in disguise" kwani yatakutoa katika matatizo yako mengine ya kurudi nyuma kimaendeleo.
Matatizo yako ya kurudi nyuma kimaendeleo yatashindwa nguvu na hii nguvu mpya itakayojitokeza.
Matatizo yako yatakushawishi lakini hutaweza hata kuyarudia tena.
Ukija kupita experience hii naomba urudi hapa kueleza usahihi wa tafsiri yangu.
kweli mindoto mingine noma..halafu ndoto zingine ni nshenzi kweli. Unakuta ndoto inakwenda taratibu, tena hatua kwa hatua utadhani mkanda wa filamu. Ukiamka mpaka unachanganyikiwa na kutokwa jasho kwamba si kweli ila ni ndoto tu. Ah, mindoto haifai kabisa.
Kwa kawaida ndoto huwa zinatoa msg kinyume-nyume. Huyo mmanzi aliyeliwa na simba ujue hahusiki kabisa na hicho kisanga. Bali uwe na uhakika mhusika hapo ni GF wako wa sasa. Yapo mabaya yanamjia. Kaa chonjo! It is a warning.Nimeota niko na my ex gal porini,mara simba huyoo,ktk kutaka kujiokoa,me ndo nkawa napambana na yule simba lakini cha kushangaza yule simba akaniacha mimi na kumkimbilia yule mmanzi akamrukia,akamrarua then yule mmanzi akawa analia sana huku analiita jina langu bt it was too late for me coz nlikua mbali kdogo,akawa kauliwa ...ndoto ikaishia hapo baada ya mimi kushtuka toka usingzni..naomba kwa mtaalamu yeyote anisave kunipa tafsiri ya hii ndoto..
Du!Bonge la tafsri.Halafu hizi ndoto wakati mwingine zinakera sana.Nakumbuka siku moja niliota niko uchi mtaani.Nilipozinduka usingizini kwanza nilishukuru kwamba kumbe ni ndoto tu,lakini pia nilikasirika sana!