Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Nimeota niko na my ex gal porini,mara simba huyoo,ktk kutaka kujiokoa,me ndo nkawa napambana na yule simba lakini cha kushangaza yule simba akaniacha mimi na kumkimbilia yule mmanzi akamrukia,akamrarua then yule mmanzi akawa analia sana huku analiita jina langu bt it was too late for me coz nlikua mbali kdogo,akawa kauliwa ...ndoto ikaishia hapo baada ya mimi kushtuka toka usingzni..naomba kwa mtaalamu yeyote anisave kunipa tafsiri ya hii ndoto..