Kuna sqm 80000 (20 heka),maeneo ya Kiguza,kijiji cha Oyoyo.Linafaa kwa shule,chuo na kiwanda.Lipo barabarani (Mkuranga-Kisarawe Road),umeme tayari umefika kijijini.Lipo jirani na shamba la MAMA SALMA KIKWETE.Bei 350 milioni,maelewano yapo.
0754 856277