Kwa yeyote anaye hitaji eneo 3km kutoka mkuranga mjini

Kwa yeyote anaye hitaji eneo 3km kutoka mkuranga mjini

butron

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,640
Reaction score
7,943
Kuna sqm 80000 (20 heka),maeneo ya Kiguza,kijiji cha Oyoyo.Linafaa kwa shule,chuo na kiwanda.Lipo barabarani (Mkuranga-Kisarawe Road),umeme tayari umefika kijijini.Lipo jirani na shamba la MAMA SALMA KIKWETE.Bei 350 milioni,maelewano yapo.
0754 856277
 
Kukiwa na viwanja vya bei yenye uadilifu niambie
 
Back
Top Bottom