Kwa yeyote anaye hitaji fundi mwashi

Kwa yeyote anaye hitaji fundi mwashi

satelite

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
209
Reaction score
71
Tunashughulika na ujenzi wa nyumba, kukadiria na kubuni majengo, kufanya ukarabati wa nyumba, kazi za ceramic tiles na aina zote za vigae. kwa mawasiliamo {+255756777672, +255789037812 au johancenp@gmail.com, /johancenp@yahoo.com}
 
Mimi ninahitaji fundi mmoja tu lakini mwenye uzoefu mkubwa wa kujenga sio mbabaishaji! Ninaweza kumpata kwa contact zako?
 
Back
Top Bottom