G Gulio Katerero Member Joined Mar 9, 2014 Posts 49 Reaction score 19 May 16, 2014 #1 Wana JF mimi ni muuguzi ninafanya kazi wilaya ya momba mkoa wa mbeya hospital ya tunduma, naomba kwa yeyote anayependa kubadilishana kituo cha kaz kutoka wilaya yoyote ya mkoa morogoro, na pwani ani PM. Nawasilisha.
Wana JF mimi ni muuguzi ninafanya kazi wilaya ya momba mkoa wa mbeya hospital ya tunduma, naomba kwa yeyote anayependa kubadilishana kituo cha kaz kutoka wilaya yoyote ya mkoa morogoro, na pwani ani PM. Nawasilisha.