Gulio Katerero
Member
- Mar 9, 2014
- 49
- 19
Wana JF mimi ni muuguzi ninafanya kazi wilaya ya momba mkoa wa mbeya hospital ya tunduma, naomba kwa yeyote anayependa kubadilishana kituo cha kaz kutoka wilaya yoyote ya mkoa morogoro, na pwani ani PM. Nawasilisha.