Emthinkers
Member
- Jun 6, 2023
- 7
- 7
Kwa mwalimu yeyote wa msingi mkazi wa wilaya ya kishapu anaehitaji tunadilishane vituo vya kazi anitafute please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha walikua wanasema popote watakaa wafanye kazi sasa wanataka kuhama na sio kuhama tu waende kusomaMumeanza pupa zenu, hamnaga subra
Ingekua vyema sana kama serikali ingetumia njia ya ajira ziwe znatolewa wilayan na cyo kwenye wizara ya mtu anatuma maombi katika wilaya anayoitaji kuajiriwa ingepunguza hizi pupaMumeanza pupa zenu, hamnaga subra
Hahahaha nmepata pakufikia hatimaeKama wewe ni manzi njoo ntakupokea upate pakufikiaa hata usijali sitozi hela
Ukishapata ajira utasoma uko uko bana kwanza ni kuingia kwenye mfumo kabla mambo hayajabadilika zaidiha ha ha walikua wanasema popote watakaa wafanye kazi sasa wanataka kuhama na sio kuhama tu waende kusoma
Oneni hili pungasese limeweka mpaka number public [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walimu jamani daaaah mbona hatuoni watu wa afya wanafanya hivi [emoji1787]Mwenye kuijua shule ya sekondari Rwabwere kyerwa.
Anijuze 0753689965
Uko sahihi.Oneni hili pungasese limeweka mpaka number public [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walimu jamani daaaah mbona hatuoni watu wa afya wanafanya hivi [emoji1787]
Ingekua vyema sana kama serikali ingetumia njia ya ajira ziwe znatolewa wilayan na cyo kwenye wizara ya mtu anatuma maombi katika wilaya anayoitaji kuajiriwa ingepunguza hizi pupa
Wise man 👏👏👏👏Uko sahihi.
Imekaa vzuri xana hii maelekezoHilo haliwezekani,ajira lazima watumishi wasambazwe nchi nzima ili kuondoa matabaka katika jamii na kuruhusu muingiliano wa kijamii ili kuua ukabila,ukanda,udini n.k