Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Zanzibar ni nchi yenye watu wenye Tamaduni na Imani mbalimbali ikiwemo Waislamu na Wakristo. Kuweka katazo la unywaji pombe au uuzwaji pombe ni kuingilia faragha za watu. Kama biashara ya mtu haikubuguzi au unywaji wa mtu hausumbui watu wengine kwa nini mtu anayekunywa pombe Ramadhani akamatwe au anayeuza pombe akamatwe?
Je kama yeye ni mkristo, akinywa pombe inahusiana nini na Ramadhani.
Mbona nchi nyingi zebyw mlengo wa Ukristo hawawasumbui Waislamu wakati wa Kwaresma
Basi sawa tufanye mnafata maadili ya kidini, mbona watu pia huko Zanzibar hawakamatwi kwa kwenda tofauti na kwaresima bali ni Ramadhani tu
Kama Zanzibar ni nchi ya kidini iwekwe wazi
View: https://www.instagram.com/p/DV1OP0PAvfK/?img_index=1&igsh=MTdqZnJjeGM0cTN5bg==