Yani unakamata mtu kisa kapiga zake urabu na hajabugzi mtuWazanzibar kwenye hilo ni wapuuzi. Hiyo sio Sheria ya JMT na sijui watawashtaki on what grounds. Kumbuka Zanzibar ina hati ya ukaazi kwa wazanzibar lkn inayolondwa na katiba ya Zanzibar, lkn hakuna Sheria ya Ramadan kuzuia kula Wala kunywa wakati wa mfungo.