Kwa maoni ya wengi ni kwamba shambulio la Fr. Kitima lina uhusiano wa moja kwa moja na matamko yake dhidi ya dhuluma wanazofanyiwa wananchi wakati wa uchaguzi.
Sote tunajua ni nani ndio wahusika wakuu kwenye dhuluma hizo. Na kwa kuwa hawa wadhulumaji wana mamlaka makubwa ya kidunia, kila tahadhari zichukuliwe wakati wa matibabu ya Fr. Kitima. Hawa waovu kwa namna tofauti, wanaweza kukamilisha ushetani wao, Fr. Kitima akiwa anaendelea na matibabu.
USHAURI
Wakati wote wa matibabu kuchukuliwe tahadhari kubwa. Hata ndani ya hospitali za kanisa, siku hizi, kuna watumishi wengi ambao hawana mahusiano ya moja kwa moja na kanisa, na kunaweza kuwepo watu wasio wazuri kupitia kwa watoa huduma hao, ambao wanaweza kutumika kumdhuru zaidi Fr Kitima. Hivyo ni vema Fr. Kitima akapatiwa matibabu nje ya mazingira ya Tanzania.