Naelewa kuvutiwa na sura au maziwa lakini makalio yanakuvutia vipi? Sioni maana yake kabisa, kwangu mimi apo ni kama sehemu ambayo kinyesi kinatoka wewe unapendea nini?
Sikuhukumu kabisa ninachotaka kujua ni nini kinachofanya yawe ya kuvutia kwako.
View attachment 3621675
Mwanaume anapenda mauvimbe aliyoumbiwa mwanamke, ie: makalio, maziwa, nyonyo, kitumbua kikubwa, guu kubwa, kono kubwa nk.
Hayo ni mapambo tuu sawa na kutamanishwa kwa mavazi alovaa mwanamke.
Sasa kujaji jaji kwamba sijui kinapita kinyesi ni ujinga wako tu, sababu ulizozisema si za kweli sababu ya kuumbwa tishu hizo zipo nyingi zaidi ya unavyowaza, hayo ni aina ya mawazo ya kinyanyapaa tu!
Kila jambo unashauriwa uliwaze na kulitafakari kwa kina.
Ukianza kukichambua kila kiungo cha binadamu na kukiwekea neno ' ni kama', basi huo ni udhaifu wa kifikira.
Vigezo vya kutamanisha si kwa mwanamke tu, hata wanaume kuna vigezo wanawake huvutiwa navyo toka kwa maumbile ya mwanaume.
Vigezo vya kuvutia na kumpenda mtu ni vya kiasisili, hata ukivihoji hauwezi kupata jibu toshelevu kwa sababu ni vya kihisia na kila mtu huangukia katika vigezo vya hisia yake.