Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mzee Ayubu Ryoba b4 TBC alikuwa vocal tukadhani ana strategies lakini alipokwenda TBC akawa mpole,shirika likayumba na kukosa hadhi SAWA na matarajio ya umma.
Zuhura Yunus alipokuwa TBC alionyesha ufanisi mkubwa sana wenye utangazaji. Lakini alikuwa sehemu ya ma activist wanawake akiwa close na Maria Sarungi na Fatma. Alikiwa na chemistry nzuri alipoambatana na Charles Hilary.
Leo namwona Zuhura TBC baada ya Charles kuelekea Zenj. Au namwona Zuhura Nafasi ya Gerson wakati Gerson akieleka TBC.
Swali langu, tutegemee mabadiliko ya taasisi au tusubiri Zuhura akashushwe CV na taasisi? Endapo utasikia ameteuliwa, utamshauri aende serikalini au abaki private sector hasa ukizingatia Bado mdogo?