atafute na bwana pia ili aheshimike. mbona mzuri tu. ila kwa uzoefu, nampa big up, akileta uzoefu wa BBC kwenye TBC inapaa sana. kama unakumbuka, TVT ilikuja kuboreshwa na Mhando aliyekuwa bbc, alipofanyiwa mizengwe na kuondoka hadi leo watu wachache sana wanaweza kuangalia tbc. trust me, ni wachache mno, wangemwacha Tido pale hakika ingefika mbali,mnaona azam walipo. exposure inasaidia sana. zuhura pia akija na exposure lazima tbc inaweza kufufuka kwasabbu atakuja na mambo ya kizungu, hatakuwa na mambo ya kiswahili. hata hivyo, hata wasipomtaka, kwa cv yake, hawezi kukosa kazi.