huu utabiri upelekwe umoja wa mataifa ukahifadhiwe vizuri kwa manufaa ya vizazi vijavyoLeo namwona Zuhura TBC baada ya Charles kuelekea Zenj. Au namwona Zuhura Nafasi ya Gerson wakati Gerson akieleka TBC.
Mkuu kwa hiyo mwanafalsafa Ayubu Ryoba anamuuliza chifu hangaya leading questions..........maswali ya 'yes' 'no' bora angempa hata multiple choice.TBC ni kama uvccm. Huwezi kuwa huru na timamu ukiwa pale. Kama unabisha mtafute Tido Muhando. Pale TBC panawafaa dirtlickers.
Dr. Rioba kageuka kinyago ana hoji maswali ya mdako kwa Bibi Mchele!
Kabisaaa... Bi Mchele anajiamulia tu jinsi ya kujibu... Hakuna objections wala probes...Mkuu kwa hiyo mwanafalsafa Ayubu Ryoba anamuuliza chifu hangaya leading questions..........maswali ya 'yes' 'no' bora angempa hata multiple choice.
atafute na bwana pia ili aheshimike. mbona mzuri tu. ila kwa uzoefu, nampa big up, akileta uzoefu wa BBC kwenye TBC inapaa sana. kama unakumbuka, TVT ilikuja kuboreshwa na Mhando aliyekuwa bbc, alipofanyiwa mizengwe na kuondoka hadi leo watu wachache sana wanaweza kuangalia tbc. trust me, ni wachache mno, wangemwacha Tido pale hakika ingefika mbali,mnaona azam walipo. exposure inasaidia sana. zuhura pia akija na exposure lazima tbc inaweza kufufuka kwasabbu atakuja na mambo ya kizungu, hatakuwa na mambo ya kiswahili. hata hivyo, hata wasipomtaka, kwa cv yake, hawezi kukosa kazi.Mzee Ayubu Ryoba b4 TBC alikuwa vocal tukadhani ana strategies lakini alipokwenda TBC akawa mpole,shirika likayumba na kukosa hadhi SAWA na matarajio ya umma.
Zuhura Yunus alipokuwa TBC alionyesha ufanisi mkubwa sana wenye utangazaji. Lakini alikuwa sehemu ya ma activist wanawake akiwa close na Maria Sarungi na Fatma. Alikiwa na chemistry nzuri alipoambatana na Charles Hilary.
Leo namwona Zuhura TBC baada ya Charles kuelekea Zenj. Au namwona Zuhura Nafasi ya Gerson wakati Gerson akieleka TBC.
Swali langu, tutegemee mabadiliko ya taasisi au tusubiri Zuhura akashushwe CV na taasisi? Endapo utasikia ameteuliwa, utamshauri aende serikalini au abaki private sector hasa ukizingatia Bado mdogo?
Zuhura hawezi kwenda tbc,,,atafute na bwana pia ili aheshimike. mbona mzuri tu. ila kwa uzoefu, nampa big up, akileta uzoefu wa BBC kwenye TBC inapaa sana. kama unakumbuka, TVT ilikuja kuboreshwa na Mhando aliyekuwa bbc, alipofanyiwa mizengwe na kuondoka hadi leo watu wachache sana wanaweza kuangalia tbc. trust me, ni wachache mno, wangemwacha Tido pale hakika ingefika mbali,mnaona azam walipo. exposure inasaidia sana. zuhura pia akija na exposure lazima tbc inaweza kufufuka kwasabbu atakuja na mambo ya kizungu, hatakuwa na mambo ya kiswahili. hata hivyo, hata wasipomtaka, kwa cv yake, hawezi kukosa kazi.
Kumbe TBC bado ipo ?Mzee Ayubu Ryoba b4 TBC alikuwa vocal tukadhani ana strategies lakini alipokwenda TBC akawa mpole,shirika likayumba na kukosa hadhi SAWA na matarajio ya umma.
Zuhura Yunus alipokuwa TBC alionyesha ufanisi mkubwa sana wenye utangazaji. Lakini alikuwa sehemu ya ma activist wanawake akiwa close na Maria Sarungi na Fatma. Alikiwa na chemistry nzuri alipoambatana na Charles Hilary.
Leo namwona Zuhura TBC baada ya Charles kuelekea Zenj. Au namwona Zuhura Nafasi ya Gerson wakati Gerson akieleka TBC.
Swali langu, tutegemee mabadiliko ya taasisi au tusubiri Zuhura akashushwe CV na taasisi? Endapo utasikia ameteuliwa, utamshauri aende serikalini au abaki private sector hasa ukizingatia Bado mdogo?
Huyu bibi ni mdini balaa anajaza waislamu wenzake tupu kwenye taasisi za umma, anatamani hata makanisa yaongozwe na maustadhiMzee Ayubu Ryoba b4 TBC alikuwa vocal tukadhani ana strategies lakini alipokwenda TBC akawa mpole,shirika likayumba na kukosa hadhi SAWA na matarajio ya umma.
Zuhura Yunus alipokuwa TBC alionyesha ufanisi mkubwa sana wenye utangazaji. Lakini alikuwa sehemu ya ma activist wanawake akiwa close na Maria Sarungi na Fatma. Alikiwa na chemistry nzuri alipoambatana na Charles Hilary.
Leo namwona Zuhura TBC baada ya Charles kuelekea Zenj. Au namwona Zuhura Nafasi ya Gerson wakati Gerson akieleka TBC.
Swali langu, tutegemee mabadiliko ya taasisi au tusubiri Zuhura akashushwe CV na taasisi? Endapo utasikia ameteuliwa, utamshauri aende serikalini au abaki private sector hasa ukizingatia Bado mdogo?
Kwanza hana mvuto wowoteZuhura anaenda Azam TV kuchukua nafasi ya Charles Hillary
Kwa huu utawala mbovu inawezekana kabisaAaaaaaaaaaa!!! Zuhura Yunus kushika nafasi ya u-DG TBC bado, anahitaji kujifunza zaidi ukizingatia nafasi ya u-DG is more managerial kuliko kutangaza. Kama ataenda TBC kwa nafasi ya utangazaji ni sawa, lakini sio ya kuongoza watu, vifaa n.k
Ni ujinga kufanananisha au kuhamisha utangazaji na kuongoza chombo Cha taifa Cha habari.Mzee Ayubu Ryoba b4 TBC alikuwa vocal tukadhani ana strategies lakini alipokwenda TBC akawa mpole,shirika likayumba na kukosa hadhi SAWA na matarajio ya umma.
Zuhura Yunus alipokuwa TBC alionyesha ufanisi mkubwa sana wenye utangazaji. Lakini alikuwa sehemu ya ma activist wanawake akiwa close na Maria Sarungi na Fatma. Alikiwa na chemistry nzuri alipoambatana na Charles Hilary.
Leo namwona Zuhura TBC baada ya Charles kuelekea Zenj. Au namwona Zuhura Nafasi ya Gerson wakati Gerson akieleka TBC.
Swali langu, tutegemee mabadiliko ya taasisi au tusubiri Zuhura akashushwe CV na taasisi? Endapo utasikia ameteuliwa, utamshauri aende serikalini au abaki private sector hasa ukizingatia Bado mdogo?
ni kweli, kwa mfano jobo alijiona kiburi akajisahau akagusa nyaya iliyochubuka - chaliiiii...Tanzania pagumu sana kufanya kazi ya serikali. Si kwa kusagiana kunguni namna hii....na chawa kibao.
Aiseeeh!!πTBC ni kama uvccm. Huwezi kuwa huru na timamu ukiwa pale. Kama unabisha mtafute Tido Muhando. Pale TBC panawafaa dirtlickers.
Dr. Rioba kageuka kinyago ana hoji maswali ya mdako kwa Bibi Mchele!
ππππKwa kuwa waganga wa kienyeji wa kutabiri nawapa heko sana!
HahahaaaaaaMara Azam mara TBC tufuatilie wapi zuhura anapoenda?!
Mnatuchanganya aiseh!
Yawezekana mkuuAnacho ambacho anamaanisha. Sitaki kuamini kakosea popote kwa kutokujua