Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
NIMEUHAMA RASMI MKOA WA DAR ES SALAAM, na sasa natambulika rasmi kama MKAAZI HALALI WA MKOA WA DODOMA
Kwaheri Dar na starehe zake zote.
Nitawamiss sana rafiki zangu niliowaacha Dar ambao tulikutana Jf na nje ya Jf.
Wana Dodoma naomba mnikaribishe mkoani kwenu.
●Tufufue Dodoma wing.
●Tukutane kila Ijumaa au Jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa wana Dodoma.
●Kutafuta mlezi na mfadhili wa Dodoma wing (hili swala nitalishughulikia mimi)
Watu wa Dodoma tujuane na tuwe na kundi letu kwa atakayependa.
Karibu Pm kwa mwanaJf uliye Dodoma, kama hutataka nikutambue hapa jukwaani.
Na kama kuna mtu au kikundi cha watu ambao niliwakosea kwa namna moja ama ingine iwe kwa Mawazo, Maneno, Vitendo au Ishara...naomba tusameheane.
Madame B ni binadamu na nina mapungufu yangu.
Tunahitaji kuingia mwaka mpya wa 2019 bila kuwa na kinyongo wala manung'uniko na mtu yeyote.
Aombaye msamaha, hutaka kusamehewa....naomba kusamehewa nilipokosea.
Pia niwatakie...Jf Founders, Staff's wote wa Jamii Media, Wana Jamii forums wote, chini ya uongozi makini wa kaka Maxence Melo na kaka Mike Mushi heri ya Xmass na mwaka mpya mwema.
NAWAPENDA WOTE...

Now nipo Rainbow
Kesho mkesha Malaika lounge
Karibuni
ILA NAIACHA DAR HUKU MOYO UNANIUMA SANA HASA KINONDONI NILIPOKUWA NAISHI.Kesho mkesha Malaika lounge