Mashao lole
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 474
- 481
[emoji23] [emoji23] aje ajibu hizi tuhuma Kwakweli [emoji23]Aisee jamiiforums kuna matapeli na waongo sijapata kuona,kumbe Dada upo zako bongo ila kule kwenye thread yangu ukawa wakwanza kucomment unaishi lethoso and blah blah kibaaoo!
Birds of the same feathers flock together.. Utampata wa kaliba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tapeli nimekutapeli nini?Aisee jamiiforums kuna matapeli na waongo sijapata kuona,kumbe Dada upo zako bongo ila kule kwenye thread yangu ukawa wakwanza kucomment unaishi lethoso and blah blah kibaaoo!
Birds of the same feathers flock together.. Utampata wa kaliba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua nakutext pm naona ulikua umeifungaUko wapi tutafutane
Ngoja nijaribu kukutext tenaHuwa sina kawaida ya kufunga Pm zangu aisee
HahaahahaNam pia mzima.
Ila mbona kule umekuja ku-like na kusepa?
HahahaahHahahah
Ila umeamini wagombanao ndio wapatanao?
Vp ushaiaga Dom?
Napenda sana mtu anayesamehe.Hahahaah
Uzuri mangi mzungu....
Hanaga shida na watu.....
Hata mtaani, ndivyo nilivyooo....
Leo tunazinguana, kesho nakuchangamkia....
Kwaninni nitesekee????
Sent using Jamii Forums mobile app