Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 519
Halafu haujasema kinagaubaga why? Umeondoka dar
Au utaniambia PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee mbona kama tunaanza kutishiana hivi, kwendeni bwana mnadhani kaka yangu na utanashati ule atashindwa kupata mke?basis nami nahama.
haya tunakwenda.Hee mbona kama tunaanza kutishiana hivi, kwendeni bwana mnadhani kaka yangu na utanashati ule atashindwa kupata mke?
Na wewe acha fix uzi mwingine uko lesotho leo, na leo uko dodoma, kuwa mkweliAsante sana mkuu mwaki pesile.
Nimeshakaribia kabisa kabisa
Angalia huo uzi wa lini sio unakurupuka tu.Na wewe acha fix uzi mwingine uko lesotho leo, na leo uko dodoma, kuwa mkweli
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/80/80055.jpg?1545070422[/IMG]
Madame B
Verified Member
✅
Joined Apr 9, 2012
27,768
11,684
280![]()
Dec 13, 2018New #2
Niko Lesotho mkuu
Ukipata chance karibu
Aisee jamiiforums kuna matapeli na waongo sijapata kuona,kumbe Dada upo zako bongo ila kule kwenye thread yangu ukawa wakwanza kucomment unaishi lethoso and blah blah kibaaoo!Habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
NIMEUHAMA RASMI MKOA WA DAR ES SALAAM, na sasa natambulika rasmi kama MKAAZI HALALI WA MKOA WA DODOMA
Kwaheri Dar na starehe zake zote.
Nitawamiss sana rafiki zangu niliowaacha Dar ambao tulikutana Jf na nje ya Jf.
Wana Dodoma naomba mnikaribishe mkoani kwenu.
●Tufufue Dodoma wing.
●Tukutane kila Ijumaa au Jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa wana Dodoma.
●Kutafuta mlezi na mfadhili wa Dodoma wing (hili swala nitalishughulikia mimi)
Watu wa Dodoma tujuane na tuwe na kundi letu kwa atakayependa.
Karibu Pm kwa mwanaJf uliye Dodoma, kama hutataka nikutambue hapa jukwaani.
Now nipo RainbowILA NAIACHA DAR HUKU MOYO UNANIUMA SANA HASA KINONDONI NILIPOKUWA NAISHI.
Kesho mkesha Malaika lounge
Karibuni
View attachment 975782
Na kama kuna mtu au kikundi cha watu ambao niliwakosea kwa namna moja ama ingine iwe kwa Mawazo, Maneno, Vitendo au Ishara...naomba tusameheane.
Madame B ni binadamu na nina mapungufu yangu.
Tunahitaji kuingia mwaka mpya wa 2019 bila kuwa na kinyongo wala manung'uniko na mtu yeyote.
Aombaye msamaha, hutaka kusamehewa....naomba kusamehewa nilipokosea.
Pia niwatakie...Jf Founders, Staff's wote wa Jamii Media, Wana Jamii forums wote, chini ya uongozi makini wa kaka Maxence Melo na kaka Mike Mushi heri ya Xmass na mwaka mpya mwema.
NAWAPENDA WOTE...
View attachment 976122
View attachment 976176
Madame karibu sana DomAngalia huo uzi wa lini sio unakurupuka tu.
Waulize walioniona Lesotho na walioniona Dom.
Punguza ngenga.