Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Kwaheri DAR ES SALAAM, Madame B nimehamia rasmi mkoani Dodoma. DODOMA NIPOKEENI.

Dodoma rainbow muda huu ni flashback tuuu... nani yupo around tuonane.
 
Madame hukuniaga kiben 10 chako........
Au umeatauhamisho ghafla?
 
Kwa sisi tusio walevi CHEF ASILIA ndio mahala petu.

Naona mpaka muda huu wadau hawaja pataja mahala hapo.
 
Asante sana mkuu mwaki pesile.
Nimeshakaribia kabisa kabisa
Na wewe acha fix uzi mwingine uko lesotho leo, na leo uko dodoma, kuwa mkweli

[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/80/80055.jpg?1545070422[/IMG]
Madame B
Verified Member

Joined Apr 9, 2012
rep.png
27,768
like.png
11,684
point.png
280
Dec 13, 2018New #2
Niko Lesotho mkuu

Ukipata chance karibu
 
Habarini.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
NIMEUHAMA RASMI MKOA WA DAR ES SALAAM, na sasa natambulika rasmi kama MKAAZI HALALI WA MKOA WA DODOMA

Kwaheri Dar na starehe zake zote.
Nitawamiss sana rafiki zangu niliowaacha Dar ambao tulikutana Jf na nje ya Jf.

Wana Dodoma naomba mnikaribishe mkoani kwenu.
Tufufue Dodoma wing.
●Tukutane kila Ijumaa au Jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa wana Dodoma.
●Kutafuta mlezi na mfadhili wa Dodoma wing
(hili swala nitalishughulikia mimi)

Watu wa Dodoma tujuane na tuwe na kundi letu kwa atakayependa.
Karibu Pm kwa mwanaJf uliye Dodoma, kama hutataka nikutambue hapa jukwaani.
Now nipo Rainbow
Kesho mkesha Malaika lounge
Karibuni

ILA NAIACHA DAR HUKU MOYO UNANIUMA SANA HASA KINONDONI NILIPOKUWA NAISHI.
View attachment 975782
Na kama kuna mtu au kikundi cha watu ambao niliwakosea kwa namna moja ama ingine iwe kwa Mawazo, Maneno, Vitendo au Ishara...naomba tusameheane.
Madame B ni binadamu na nina mapungufu yangu.
Tunahitaji kuingia mwaka mpya wa 2019 bila kuwa na kinyongo wala manung'uniko na mtu yeyote.
Aombaye msamaha, hutaka kusamehewa....naomba kusamehewa nilipokosea.


Pia niwatakie...Jf Founders, Staff's wote wa Jamii Media, Wana Jamii forums wote, chini ya uongozi makini wa kaka Maxence Melo na kaka Mike Mushi heri ya Xmass na mwaka mpya mwema.
NAWAPENDA WOTE...
View attachment 976122

View attachment 976176
Aisee jamiiforums kuna matapeli na waongo sijapata kuona,kumbe Dada upo zako bongo ila kule kwenye thread yangu ukawa wakwanza kucomment unaishi lethoso and blah blah kibaaoo!
Birds of the same feathers flock together.. Utampata wa kaliba yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom