Kwaheri Emanuel Amunike siasa zetu zimekuponza

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
nilijua usingedumu kuwa kocha. hasa baada ya kumuacha ajibu na mkude.
nilistushwa sana na maneno ya kifedhuli ya JUMA nkamia dhidi yako yalinistua sana.
nilijua hautakuwa na kibarua tena.
kwenye nchi ambayo mchezaji anatangaza kustaafu kwa kuangalia utimamu wa mwili wake na anakuja mwanasiasa ( mwizi wa vyeti / badhite) na kumwambia asistaafu kufundisha mpira ngumu kweli.
kwaheri amunike, wewe ni shujaa, hata maximo alitushindwa
 
Subirieni timu ya jeshi...kazi ni moja tu, Mpira. Hayo ndio mawazo anayoyawaza mkubwa.
 
nilijua usingedumu kuwa kocha. hasa baada ya kumuacha ajibu na mkude.
nilistushwa sana na maneno ya kifedhuli ya JUMA nkamia dhidi yako yalinistua sana.
nilijua hautakuwa na kibarua tena.
kwenye nchi ambayo mchezaji anatangaza kustaafu kwa kuangalia utimamu wa mwili wake na anakuja mwanasiasa ( mwizi wa vyeti / badhite) na kumwambia asistaafu kufundisha mpira ngumu kweli.
kwaheri amunike, wewe ni shujaa, hata maximo alitushindwa
Rais wa TFF anapaswa kujiuzulu!
 
Back
Top Bottom