Kwaheri Granit Xhaka

Mnyuke junior

Member
Joined
Jun 1, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Kiungo mzuiaji wa miamba ya soka ya London (Arsenal) Granit Xhaka amekubali kujiunga na miamba ya soka ya italia As roma chini ya kocha JOSE MOURINHO kwa mkataba wa miaka mitano kwa Ada inayokadiriwa kati ya €18-20m hivi karibuni atasaini mkataba huo [emoji837]

Source; (chris wheatley)

 
Xhaka, miongoni mwa viungo bora waliokosa mwendelezo.
 
Huyu jamaa na Ozil sikuwahi kuwakubali! Maboko yake yameigharimu sana Arsenal ! Ufike salama huko uendako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…