Kwaheri Muungano, Karibu Tanganyika

Kwaheri Muungano, Karibu Tanganyika

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya Uchaguzi tukiwa kama Tanganyika. Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima Uchaguzi uliofanyika hamna kitu.

Yaani yale majigambo yenu wapinzani nikaona mara hii Tanzania hapatakalika, huku CHADEMA inawaka moto akiongoza yule msukule wao ,kule kizee Seif nae kacharuka ,mwisho wa siku kimyaah, sijaona kuingia barabarani wala msituni kama sio. Nina wasiwasi walitaka wawaulishe watu halafu wao wazuke kwenye vyombo vya habari kama mazoea yao.

Tunafahamu kwa CCM ya sasa hakuna anaeweza kushika Urais kama Magufuli hivyo kama Chama tutaendelea na huyuhuyu kwa njia zozote zile tunazozijua na zaidi sisi ndio wenye nchi hii tulioshika mpini. wapinzani wapowapo tu.
 
Bora hata Trump amevamia Ikulu, wapinzani Tanzania hamuwezi hata kuvamia ofisi ya tawi la CCM, halafu mnataka kupewa nchi muongoze si tutavamiwa mchana kweupe.

Ndugu zangu wa vyama vya upinzani tafuteni kazi za kufanya haswa wanachama wa kawaida ,hao viongozi wenu wana miradi mikubwa mikubwa ,waangalieni walivyotoka mashavu,ukali wao kwenye vyombo vya habari wakimaliza hapo ndio keshamaliza kazi na siku imepita. Wewe kinyamkela unawafuata fuata hao umekaa kama kivuli alipo tupo, haya yule yupo Ikulu mwingine Ulaya nyie mpo wapi ?
 
Hivi na ww kapuku ni sehemu ya watoa maamuzi?. Katibu mkuu kasema hakuna kitu km hicho, wewe ni nani hata umcontradict! Au na ww unawinda uteuzi na id yako feki hii?? Hahahahah.
 
Ni mjinga peke yake anaueweza kusema eti CCM bado ipo.

CCM imekuwa Mali ya mtu binafisi yeye ndiye anaweza kuamua Nani awe mbunge ,au Diwani, NEC ipo Kama picha,
Waulize kina Kinana,Makamba,Sofia Simba, MEMBE,wamebaki wanaihurukia CCM ya ukweli.
 
Bora hata trump amevamia ikulu,wapinzani Tanzania hamuwezi hata kuvamia ofisi ya tawi la ccm,halafu mnataka kupewa nchi muongoze si tutavamiwa mchana kweupe.....
Poor thinking! Unatia huruma kweli. Kumbe uimara wa chama ni uwezo wake wa kuvamia wengine na kufanya vurugu!!??? Hujielewi!!?
 
Umeshiba korosho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mjinga peke yake anaueweza kusema eti CCM bado ipo.
CCM imekuwa Mali ya mtu binafisi yeye ndiye anaweza kuamua Nani awe mbunge ,au Diwani, NEC ipo Kama picha,
Waulize kina Kinana,Makamba,Sofia Simba, MEMBE,wamebaki wanaihurukia CCM ya ukweli.
CCM ipo inategemea ipo kiana gani lakini ipo ,sema wao si saaaaaaaaaana kuropoka kwa kuita vyombo vya habari.kama jamaa zetu walivyozoea ,kitu kidogo mbio kuita vyombo vya habari,wanajua mikutano haina tena wasikilizaji.
 
Rudi shule
tatizo mlilonalo naona wengi wenu najua kusoma na kuandika ila hamna uwezo wa kufahamu aandikayo profesa,mnapata tabu sana labda yule lweikaza anaweza kunifahamu ,ila mnafahamu maana mna hasila mnapojivu mnatoa povu.
 
Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya uchaguzi tukiwa kama Tanganyika. Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima uchaguzi uliofanyika hamna kitu....
Hili bwabwa km trump jf pigen pin majitu km haya
 
Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya Uchaguzi tukiwa kama Tanganyika. Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima Uchaguzi uliofanyika hamna kitu...
Unajikuta unajua siasa kumbe hujui

Unajikuta mtu wa inner circle kumbe mtu wa vijiwe vya kahawa

Kuhusu Muungano nchi haiwezi rudi nyuma...ni mwendo wa kwenda mbele tuu (serikali moja)

One nation one government
 
Bora nipupute mchanga kwenye gari maana sijaelewa hata
 
Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya Uchaguzi tukiwa kama Tanganyika.
Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima Uchaguzi uliofanyika hamna kitu.

Yaani yale majigambo yenu wapinzani nikaona mara hii Tanzania hapatakalika, huku CHADEMA inawaka moto akiongoza yule msukule wao ,kule kizee Seif nae kacharuka ,mwisho wa siku kimyaah, sijaona kuingia barabarani wala msituni kama sio.
Nina wasiwasi walitaka wawaulishe watu halafu wao wazuke kwenye vyombo vya habari kama mazoea yao.

Tunafahamu kwa CCM ya sasa hakuna anaeweza kushika Urais kama Magufuli hivyo kama Chama tutaendelea na huyuhuyu kwa njia zozote zile tunazozijua na zaidi sisi ndio wenye nchi hii tulioshika mpini. wapinzani wapowapo tu.
Ukitaka kuandika jambo lolote ili lieleweke usianze kulivuta ganja wala kupiga banana! Hivyo vitu vitakupeleka kasi na utaandika kitu kisichoeleweka ilimradi umewataja unaowachukia, ona sasa!
 
Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya uchaguzi tukiwa kama Tanganyika.
Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima uchaguzi uliofanyika hamna kitu.

Yaani yale majigambo yenu wapinzani nikaona mala hii Tanzania hapatakalika, huku Chadema inawaka moto akiongoza yule msukule wao ,kule kizee Seifu nae kachaluka ,mwisho wa siku kimyaah, sijaona kuingia barabarazi wala msituni kama sio.
Nina wasiwasi walitaka wawaulishe watu halafu wao wazuke kwenye vyombo vya habari kama mazoea yao.

Tunafahamu kwa CCM ya sasa hakuna anaeweza kushika Uraisi kama Magufuli hivyo kama Chama tutaendelea na huyuhuyu kwa njia zozote zile tunazozijua na zaidi sisi ndio wenye nchi hii tulioshika mpini. wapinzani wapowapo tu.
Umeshapewa hela ya kuwaachia wanao nyumbani au umalize kazi ya leo ndiyo upewe?
 
tatizo mlilonalo naona wengi wenu najua kusoma na kuandika ila hamna uwezo wa kufahamu aandikayo profesa,mnapata tabu sana labda yule lweikaza anaweza kunifahamu ,ila mnafahamu maana mna hasila mnapojivu mnatoa povu.
Hasila
 
Back
Top Bottom