Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya Uchaguzi tukiwa kama Tanganyika. Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima Uchaguzi uliofanyika hamna kitu.
Yaani yale majigambo yenu wapinzani nikaona mara hii Tanzania hapatakalika, huku CHADEMA inawaka moto akiongoza yule msukule wao ,kule kizee Seif nae kacharuka ,mwisho wa siku kimyaah, sijaona kuingia barabarani wala msituni kama sio. Nina wasiwasi walitaka wawaulishe watu halafu wao wazuke kwenye vyombo vya habari kama mazoea yao.
Tunafahamu kwa CCM ya sasa hakuna anaeweza kushika Urais kama Magufuli hivyo kama Chama tutaendelea na huyuhuyu kwa njia zozote zile tunazozijua na zaidi sisi ndio wenye nchi hii tulioshika mpini. wapinzani wapowapo tu.