Hakika januari hii ilinikimbiza kasi mno, sitousahau mwezi huu, nilipungukiwa tsh laki mbili ikanibidi nicheki kwa rafiki zangu, niliwasiliana na watu karbia 20 bila mafanikio, nmegundua kuwa na marafiki wa aina moja ni hatari sana, siku unaanguka unaweza kukosa wa kukunyanyua.
Bye bye jan2020.