Kwaheri Simba SC, Ahsante kwa kushiriki michuano ya Mabingwa, CAF

ALAFU UTAKUJA KUAMBIWA HUYU MUANZISHA UZI NAE ANA FAMILIA ...DAH[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mambo mawili hapo

AKILI HUNA au HUNA AKILI.



Hivi kwanini mnakuwa hivyo jamani!!!!!
 
Dogo si ungesubiri YA tuipige kwanza?
Unawanga mchana...subiri kiza/giza liingie basi?
 
ALAFU UTAKUJA KUAMBIWA HUYU MUANZISHA UZI NAE ANA FAMILIA ...DAH[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mambo mawili hapo

AKILI HUNA au HUNA AKILI.



Hivi kwanini mnakuwa hivyo jamani!!!!!
Kaa kwa kutulia.
 
Kweherini,kwaherini, kwaherini, kwaherini 🦁
 
Hivi ikitokea Simba amevuka hatua ya robo fainali mtakua na nini kingine cha kujitetea,, kwamba waarabu wabovu ??[emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha mbali sana, mechi ya kwanza dhidi ya Nyasa BB ugenini walisema hivyo pia
 
Chukua kopo wahi maliwatoni ukajiswafi ndiyo urudi usome tena huu uharo wako

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
hakuna timu dhaifu inaweza kufika robo fainali ya kombe ya wanaume, CUF champion league uisikie tu.
 
Hakuna kitu kibaya kinakaa sehemu nzuri
na hakuna kitu kizuri kinakaa sehemu mbaya
alipo simba ndio sehemu aliyo stahili kuwepo
na alipo yanga ndio mahali alipo stahili
na kama simba atakomea robo basi ndivyo alivyo stahili
kwa hiyo msipende sana kuwa na viherehere vya ushabiki na kujifanya wachambuzi hali ya kua huujui mpira
kenge we
 
Dogo umekuja kwa kasi sana humu mjini
Tena anakaa kwa shemeji raha sana...Dada kule chumbani akitoa huduma mzuri tu basi..unaachiwa simu used na mabando unanunuliwa kila siku.
 
Tena anakaa kwa shemeji raha sana...Dada kule chumbani akitoa huduma mzuri tu basi..unaachiwa simu used na mabando unanunuliwa kila siku.
Hongera sana kwa hatua uliyopo kwa hiyo dada ako akifukuzwa na wewe huna pakuishi
 
Umeandika kwa hisia sana mbumbumbu fc [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…